Polisi ang'olewa meno sita Shinyanga

Polisi ang'olewa meno sita Shinyanga

mr nasema wapigwe tu!!
kesho/leo anakalia kuti kavu
 
au siyo mazee babu kubwa wanatuonea polisi pole AFANDE bora ungekufa madini wafaidi wngne meno utolewe wewe umekoma
 
mnaoshabiki polisi kuumizwa ni wajinga na pumbavu sana ingetokea jambazi kakuvamia usingepiga simu polisi? mbona kila siku mmepanga foleni vituoni mkihitaji msaada wao sometimes it better to think before you act in anything b'se at end it will be seen you are crazy.. .

pole sana askari ulikuwa unatekeleza wajibu wako wa kulinda usalama wa ndani ya nchi...
 
Duhhhh yaani asilimia 98 % ya watu waliojibu hii thread wanashabikia polisi kupigwa . TZ imebadilika kwa kweli .
 
wangetoa na mdomo wenyewe kabisa mipolic haina ht akili ya kidogo yaani wanaacha kutetea wazawa wanatetea hao mazungu pori
wasukuma siku ingine ueni woteee hao
 
Hahahah...wapigwe tu kama kayanza alivyosema!!!
 
Yaani meno sita tu? Kuna yule bondia walivunja meno saba, na habari zake hazikuandikwa.
 
Wange muua tu maana huo mgodi haulipi hata cent moja kwa Watanzania eti hadi 2018 ndo watafikiria kulipa mrabaha na kodi! 2013 walipata mother of all Pink Diamond yenye thamani sawa na Madeni yote ya Taifa! Almasi hiyo imepelekwa kwa Malkia!!! Grrrr

Kumbuka, mgodi unaitwa William Diamond,
Sasa unategemea nini hapo
 
mnaoshabiki polisi kuumizwa ni wajinga na pumbavu sana ingetokea jambazi kakuvamia usingepiga simu polisi? mbona kila siku mmepanga foleni vituoni mkihitaji msaada wao sometimes it better to think before you act in anything b'se at end it will be seen you are crazy.. .

pole sana askari ulikuwa unatekeleza wajibu wako wa kulinda usalama wa ndani ya nchi...

yaani umebak peke yako,huon aibu?watanzania wanauliwa kila siku na majambaz na polisi wapo,polisi wanashiriki mara kadhaa kwenye ujambaz,polisi wanaua innocent guys,huyo polisi alikua anawatetea majambaz ambao wanaiba mali za watanzania,waliomtoa meno wametimiza wajibu wao wa kujitetea na kutetea rasilimali zao
 
mnaoshabiki polisi kuumizwa ni wajinga na pumbavu sana ingetokea jambazi kakuvamia usingepiga simu polisi? mbona kila siku mmepanga foleni vituoni mkihitaji msaada wao sometimes it better to think before you act in anything b'se at end it will be seen you are crazy.. .

pole sana askari ulikuwa unatekeleza wajibu wako wa kulinda usalama wa ndani ya nchi...

sasa povu lote hilo la nn?
hapa point ni kwamba polis kang'olewa meno 6 (duuuh!!! meno yote hayo!!) akiwa anafanya kaz ya kuwashugulikia wachimbaj haram (wakiwa ndan ya ardhi yao) na wala hakua anapambana na majambaz..
au ndo usalama wa nchi unalindwa namna hii?..
ila angengólewa hata meno mawili... meno 6 hata mm sijapenda...
 
Hii ilikuwa ni kama ile ngoma ya Buriati na ana bahati ilitua juu ya meno,kama ingetua kwa kichwa mngeshamzika kitambo
 
Moto wa kombeo a cha kabisa, wakati nipo darasa la tano nimewahi kumpiga mbwa wa jirani, akatua kwenye ndoo, ikapasuka na kugonga kwenye chungu, nacho kikapasuka na kuua kukualiyekuwa jirani, wakati kuku anakufa, alipasua tai moja.
 
safi sana ngosha, alafu na wewe ...@e.jay povu lisikutoke bure ungejua jnsi gani askari wanavyowaonea
wachimbaji huko usingeandika utumboo huo
sawa sawa tu askari huyo alichofanyiwa
 
mnaoshabiki polisi kuumizwa ni wajinga na pumbavu sana ingetokea jambazi kakuvamia usingepiga simu polisi? mbona kila siku mmepanga foleni vituoni mkihitaji msaada wao sometimes it better to think before you act in anything b'se at end it will be seen you are crazy.. .

pole sana askari ulikuwa unatekeleza wajibu wako wa kulinda usalama wa ndani ya nchi...
Tena wewe ndo mpumbavu nambari moja! Kaa kimya kama huna cha kuongea.

Back to the topic, ng'osha mwabejha sana! Next time kombeo itue kwenye korodani huku tukiendelea kumkumbuka Mwangosi!
 
mnaoshabiki polisi kuumizwa ni wajinga na pumbavu sana ingetokea jambazi kakuvamia usingepiga simu polisi? mbona kila siku mmepanga foleni vituoni mkihitaji msaada wao sometimes it better to think before you act in anything b'se at end it will be seen you are crazy.. .

pole sana askari ulikuwa unatekeleza wajibu wako wa kulinda usalama wa ndani ya nchi...
hakuna mtu anayeshabikia polisi au mtu yeyote kupigwa...ukiona raia wanashabikia polisi kupigwa ujue pana uvundo hapo...polisi wengi sasa wamekuwa ni adui wa raia na usalama wao hata wanaitwa policccccmmmm....think twice
 
Back
Top Bottom