Polisi ang'olewa meno sita Shinyanga

Polisi ang'olewa meno sita Shinyanga

Jinga mkubwa! Police brutality Tanzania balaa hasa kisiwani.

Acheni unafiki wabongo! Kosa la huyo polisi liko wapi? Mtu alikuwa kazini na hakuna ubaya wowote aliofanya, kutuliza ghasia ni mojawapo ya majukumu ya ffu. Chuki binafsi zitawamaliza!
 
Duh leo nitalala usingizi mororo maana hii habari imenifurahisha sana

Duh jamani hakuna aliyefanikiwa kupiga picha hayo meno? jamani naumia sioni picha ya meno....kwikwikwi....:sad::sad::sad:
 
Huku watu wakiwa wametega macho na masikio huko dodoma, huko simanjiro kampuni ya Tanzaniteone Ming Ltd, imeuzwa kimya kimya!
 
Mwosha huoshwa..... Let him get what he deserves!!! Na mimi nasema wapigwe tu.....!!


Sent from my iPhone using JamiiForums app
 
kuwa watu hapo kwenye mijadala mmekuwa mmeniquote napenda kuwaambia jaribuni kutii sheria, leo unakuta mahali kuna mgogoro kati ya mwekezaji na wananchi lakini ukiangalia wananchi waliuziwa mbuzi kwenye gunia na wao walishiriki kupitia mikutano yao vijiji/mitaa

polisi wana kazi kubwa sana na hatarishi kwa maisha yao wakati wewe umelala usiku wao wako doria kuhakikisha wewe mtanzania uko salama hivyo naendelea kusema ni ujinga kushabikia polisi aliyeumizwa

just imagine ikitokea wote wawe likizo wasifanye chochote kama vibaka na majambazi hawajachukua kitu. raia wote wangebaki bila kitu hebu tambueni mchango wao.

"ukiona mtu anachuki na polisi ujue ni mhalifu au kuna jambo ambalo ni kinyume na sheria anataka kufanya"
 
Tanzania watu wanamaasira na hii CCM. Sio mbali kabla ya hii nchi kulipuka kama iliyotokea Tunisia.

2combe 2fke uko kakaangu, utptzna na ndgu zko kuanzia mkeo, watoto, babu yako + nyanya yako. beki tatu wko hadi hwra yako hutajua wako wapi na pengine ucwaone tena
 
Nawapigwe tu!

umeona ni jinsi gani wazungu wanatugombanisha eh, coz aridhi ni yetu madini ni yetu gesi pia ni yetu lkn wao ndio wala cream yetu, cc tukitaka kuchukua kidogo chetu, wanawanunua maasikari wetu wenyewe kuwapambanisha na raia wetu angali wao wakijenga magorofa makubwa uko kwao.
eh baba yetu nyerere ona vijana wako wanavyowauzia wazungu aridhi yako,
 
Back
Top Bottom