Polisi aliyemkomalia mke wa Waziri kulipa fine kupandishwa cheo

Wakuacha

JF-Expert Member
May 19, 2015
2,046
1,337
Habari wana Jf.

Ni takribani wiki imepita sasa toka askari Wa usalama barabarani kumkomalia mke Wa waziri Wa awamu ya tano ..baada ya dereva wake kusimama katika zebra cross. Askari huyo alionesha ujasili Wa hali ya juu maana itawafanya askari sasa watende majukumu yao pasipo kumuonea MTU aibu ..nyepesi nyepesi Jana mkuu Wa kaya amechomekea kijana apewe cheo ..na pia amewapa pole police kwa kutukanwa sana sasa waanze kuchukua hatua....

....Hapa kazi tu.
 
Who is that ?
 
Zamani bosi wa huyo polisi alikua anapigiwa simu kushitakiwa askar wake kamisbehave
 
Back
Top Bottom