joely sandu
JF-Expert Member
- Nov 24, 2017
- 1,962
- 1,819
Kina nan hao mkuuDaaah! Hawa ombaomba wamekua nuksi sana sikuiz
Kina nan hao mkuuDaaah! Hawa ombaomba wamekua nuksi sana sikuiz
Wasabato na Walokole hawachukui Rushwa? Wanaochukua Rushwa ni wapi?
Eh umerudi
Ova
Eti walokole na wasabato!!! Makalio ya ngedere!Uwe makini sana sio kila traffic officer anahitaji hiyo ya kiwi( kubrashia). Wengine ni walokole au wasabato wenye nia ya kwenda mbinguni hawanaga masihara, ni wabaya kweli kweli.
Kama alikataa 5000 na akakuandikia 30000 huoni kuwa aliidharau hiyo ya brashi na akataka akukamue zaidi? Hakukataa bali alichukia ulivyompa ndogo. JiongezeNikiwa natokea zangu asubuhi kutoka maili moja nikiwa kwenye IST yangu na kamvua kananyesha kwenda viwanja, kufika maeneo ya Kwa Yusufu Mbezi nikakutana na barrier ya trafic wakikagua magari yalikuwa yakipita.
Ilinipa mawazo kwa kuwa taa ya mkono wa kushoto mwa gari yangu imevunjika, baada ya trafic kukagua gari akagundua hilo kosa.
Basi nikashuka nikaongee asiniandikie faini,
nikatoa elfu 5 nikamwambia mkuu shika hii ya kubrashia viatu, acha acharuke unanipa rushwa!
Nikamwambia hapana hata mh. mtukufu Rais alisha sema elfu 5 hizi si mbaya mchukue za kuburashia viatu, kwa hasira ameamua kuniandikia faini.