ganzi ngumu
Member
- Dec 30, 2013
- 47
- 7
sasa amepelekwa hospitali kufanya nini, wakati kapenda mwenyewe kutimiza lengo lake? weka pembeni, watibiwe wengine wenye kusumbuliwa na maradhi na ajali za kudra yake Mola!
Wallah hata mimi nmecheka kwa kweli!
Hatuna kazi nao, Wafe tu ! Ma askari wenyewe wamejaa rushwa tupu , Yaani utafikiri hayana mshahara , Kuna trafiki mmoja Arusha anaitwa Riziki anapenda sana rushwa kuliko kazi, RTO tunakuomba umchunguze!
Nimeamini kweli watu mliowengiwenu bado atukubali kuelimika na kuelimishwa, bunduki kama bunduki jinsi ilivyo ni kifaa ambacho muda wowote kisipo bebwa kwa kuheshimiwa matokeo yake yanaweza kuwa mabaya aidha kwa kujeruhiwa ama kumuua kabisa mtu aliyekibeba ama kusababisha madhara kwa watu wengine lakini pia inawezekana kwa huyo askari ambaye ndiye Mlinzi wetu katika suala zima la ulinzi na usalama wa raia na mali zao hakuwa na lengo la kutaka kujipiga risasi ama nia ya kujiua yawezekana risasi lifyatuka kwa bahati mbaya kama nilivyoeleza hapo juu japo kwamba sina elimu na ufahamu mkubwa wa masuala ya bunduki lakini nachodhani ni kwamba kupoteza umakini katika ubebaji wa silaha yeyote hile lazima matokeo yake atakuwa ni hasi.
Polisi FFU shinyanga amejipiga risasi kifuani sasa hivi yupo hospital ya mkoa shinyanga
Kirusi cha uonevu kwa raia huru&wema taratiibu kimeanza kuwanyemelea! Na walaaniwe kwa kukosa kwao uzalendo kwa TAIFA na raia wake + kuendeleza/tekeleza sera ya liwalo na liwe+wapigwe tu"!
unashea nae ........wako?Upo sahihui kabisa.
mimi ni mmoja wa wanochukia hawa askari polisi. siwapendi.
Hasa yule chongo ndo namchukia mno.
Jf ni crazy...wachaniwe wa kwanza kutoa pole; pole kwa wafiwa kama marehemu kafa
Nafikiri ni mhehe maana teknolojia imekuwa ile mambo yaAtakuwa sio mchaga huyo, wachaga huwa hawarembi..
unashea nae ........wako?
Sababu ni nini hasa?
Jf ni crazy...wachaniwe wa kwanza kutoa pole; pole kwa wafika kama marehemu kafa
Khaaa sio wafika ni wafiwa!unazidi kunivunja mbavu!