Polisi ajipiga Risasi sasa hivi

Polisi ajipiga Risasi sasa hivi

Tatizo la kutatua jambo kwa hisia lakini kama angeweza kutafakari wala asingeweza kujikosa na risasi kupiga kifuani badala ya kichwani.
 
  • Thanks
Reactions: y-n
JK unawaua njaa watendaji wa kazi yenu ya kuvuruga mikutano ya CDM.
 
Utakuwa mgogoro wa kimapenzi chanzo chake.
 
au alikataa kulipua bomu kanisa katoliki pengine savimbi kapiga simu na akamuambia ajimalize mwenyewe kabla hajamalizwa na green guard
 
Huenda alisahau kufunga usalama ikajifyatua bahati mbaya. Angetaka kujiua angeweka mtutu mdomoni na kuvuta trigger, mengine yangefata
 
Anasubiri nini bado hajafa tu watu wa dizaini hiyo kanisa na msikiti hawajui maana yake ni nini kwa hiyo hawana hofu ya mungu wengi wanakuwa ni wafusi wa ibilisi chochote wanaweza kifanya.
 
Ahsante kwa taarifa ila nikikumbuka ya Mwongosi naona kama angejipiga tatu kichwani na mbili tumboni saba shingoni
 
Kumbe watanzania mnawachukia ivo askari wenu! sikujua, maana naona hakuna hata mmoja anayetoa hata pole! Kama mlivyotoa pole kwa kina mangwear na wengine
Upo sahihui kabisa.
mimi ni mmoja wa wanochukia hawa askari polisi. siwapendi.
Hasa yule chongo ndo namchukia mno.
 
Kanunua umeme hakuamini macho yake alichokiona kweye luku
 
Back
Top Bottom