Polisi ajipiga Risasi sasa hivi

Polisi ajipiga Risasi sasa hivi

CHAMULILE

Member
Joined
Nov 7, 2010
Posts
18
Reaction score
1
Polisi FFU shinyanga amejipiga risasi kifuani sasa hivi yupo hospital ya mkoa shinyanga
 
Sijaelewa nia yake, ila kama alitaka kujiua angejipiga kichwani.
 
Mkuu weka nyama habari yako, hii utaulizwa maswali mengi sana.
 
Huyo alikuwa anapima jinsi risasi inavyouma pindi iingiapo mwilini! Kama lengo lilikuwa ni kujiua angelenga chini ya kidevu akaona kitakachosalia.
 
Sasa hivi askari FFU amejipiga risasi kifuani hapa shinyanga yupo hospitali ya mkoa
 
Ana ngoma..au kapigwa buti na demu afande mwenzie?ndio dili zao hao.....wakome kubaka kila demu wanaoona yupo kyk uwezo wake wa kumnyanyasa.

Mengine unakuta Demu kalidanyanya ili limpishe.....dia km unanipenda hata mbele ya risasi hembu nionyeshe kuwa ungeweza nizuia kwa mwili wako.

Wanaume wajinga huthibitisha kuwa ni wababe na watafanya lolote ku,iliki penzi kwa kujiondoa hivyo ktk kinyang`anyiro hivyo.
 
Mungu amuafu! Asante kwa taarifa ( kama za kweli)
 
Kirusi cha uonevu kwa raia huru&wema taratiibu kimeanza kuwanyemelea! Na walaaniwe kwa kukosa kwao uzalendo kwa TAIFA na raia wake + kuendeleza/tekeleza sera ya liwalo na liwe+wapigwe tu"!
 
Fanya mambo kabla Tangopori hajatokelezea..
 
Last edited by a moderator:
Alipojipiga alikua yupo 'kiaskari' au 'kiraia'? Km alitaka kujiua angejipiga kichwani wala asingekua hospitali mda huu
 
Back
Top Bottom