Polisi acheni visingizio

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,864
155,822
Tulipo taka kuandamana kupinga malipo kwa Dowans mlitupinga kwa kisingizio cha tishio la kushambuliwa na Al Shabab.
Siku ya mechi ya Simba na Yanga mlikuwepo wengi tu pale uwanja wa Taifa.
Sasa kuna maandamano makubwa yanakuja. Tunaomba polisi muweke chini mabomu yenu ya machozi, raia tutaongoza maandamano nyie mtatufuata kwa nyuma.
Peoples Power.
Aluta Continua
 
Kwani ulidhani hawa mbwa wana akili nzuri? yaani kuishi kwenye nyumba za mbwa na kuku ndio wamerithi hadi akili zao
 
Tulipo taka kuandamana kupinga malipo kwa Dowans mlitupinga kwa kisingizio cha tishio la kushambuliwa na Al Shabab.
Siku ya mechi ya Simba na Yanga mlikuwepo wengi tu pale uwanja wa Taifa.
Sasa kuna maandamano makubwa yanakuja. Tunaomba polisi muweke chini mabomu yenu ya machozi, raia tutaongoza maandamano nyie mtatufuata kwa nyuma.
Peoples Power.
Aluta Continua

Maandamano hayo yatafutiwa sababu yoyote ile yapigwe marufuku. Ni suala la muda tu.
 
Mzee wa Rula safari hii tutafia barabarani, tutaandamana na mimi binafsi najitolea kufa ili vizazi vijavyo vije ishi kwenye Tanzania bora
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom