Police wanaita graduates

Police wanaita graduates

Arno bano

Member
Joined
Aug 21, 2013
Posts
16
Reaction score
1
Mamb vp wana jamii forum jaman tunachoomba mwenye info zozote atujulishe maana hawa jamaa website yao haipatikan na wala hakuna info zozote kuhusiana na hii mishe plz mpenda maendeleo yeyote mwenye info na plz atujuze tunakuomben utujuze
 
hebu endelea kusubiria watatoa habari.mbona una haraka ina maana huna kazi nyengine..?
 
Fomu foo watatuita lini jamani?

wewe upo dunia hii kweli form 4, 6 na JKT wote mbona usili ulisha isha na matokeo yashatoka mda sana na mwezi ujoa ndhani tarehe kumi 11 wanaenda kambini. ila ka graduate taarifa niliyonayo kwa sasa ni kwamba watatoa majina mda si mrefu msubili hii ni baada ya kuwapigia simu na kuwauliza.
over!!
 
watawaita usijali mkuu subira yavuta heri. Keep waiting .

Mamb vp wana jamii forum jaman tunachoomba mwenye info zozote atujulishe maana hawa jamaa website yao haipatikan na wala hakuna info zozote kuhusiana na hii mishe plz mpenda maendeleo yeyote mwenye info na plz atujuze tunakuomben utujuze
 
wewe upo dunia hii kweli form 4, 6 na JKT wote mbona usili ulisha isha na matokeo yashatoka mda sana na mwezi ujoa ndhani tarehe kumi 11 wanaenda kambini. ila ka graduate taarifa niliyonayo kwa sasa ni kwamba watatoa majina mda si mrefu msubili hii ni baada ya kuwapigia simu na kuwauliza.
over!!

Tuwekee majina mkuu wengine tupo mbali
 
Tuwekee majina mkuu wengine tupo mbali

poa poa kaka majina haya hapa chini angalia kama ukucheki!!

(majina ya form 4, 6 na JKT kwa waliochaguliwa kujiunga na jeshi la polisi)
 
Attachments

Back
Top Bottom