Polepole unampoteza Zenda

Polepole unampoteza Zenda

H
Hao wote ni wajukuu wa Mbunge wa zamani wa Iramba Mh Yohana Nkurlu(1965 - 1970)
Fadhili ni mtoto wa Y.Nkurlu! Amani anamuita Fadhili Baba mdogo! Baba wa Amani alikua Press secretary wa Mkapa! ambao walikua intake moja na Balozi..P.Kalaghe..
 
nimecheka ulivyosema zenda kaamua kuwa mwendawazimu zaidi ya uwendawazimu wake unaojulikana...


huyo zenda ni kichaaa kwa kweli nimesoma nae primary namjua ...... huyo zenda kabla hujamvuruga anakuvurugaaaa mara 100 ... hanaga aibu hata uchi anaweza akatembea.... uvccm kweli kazi mnayoooo kama viongozi wenu ni kina daniel zendaaa
aiseee hii cv ya zenda ni hatari
 
Ina maana Polepole ameshajipa urithi wa Ukatibu Mkuu? Polepole huyu huyu anasema Watu wasipange kumbe naye anashiriki kupanga safu zake, aibu! Tangu Polepole aingie hakuna la maana analolifanya mpaka imefika wakati wakubwa wa CCM na Serikali kumkumbuka Nape

Sent using Jamii Forums mobile app
 
habari kama hizi muwe mnapost kwenye mablogu yenu ya CCM huko msome wenyewe.
 
Back
Top Bottom