SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 49,967
- 75,039
Ungekuwa unajua kusoma na kuelewa husingeandika hayo.
Hizi elimu zenu za kimulugomulugo hizi ni shida.

Na wewe mhenga mambo na michezo ya watoto unaingilia! Waachie wenyewe watoane ngeu. Au umesahau figusu za uvccm zilvyoondoka na maisha ya mdogo wako (R. I. P my best friend)?
Kwa muda mrefu sasa zenda amekua akisadikiwa kuisema vibaya uvccm kwa polepole na baadhi ya maofisa wa ccm Lumumba. Sababu ya kufanya hivyo iko wazi; (1) shirikisho kuondolewa na kuwekwa chini ya uvccm kama idara (2) kutopewa cheo kikubwa (unaibu katibu Mkuu au ukatibu mkuu) (3) kupenda kufanya kazi bila kufuata taratibu na mipango.
Kwasababu ya hayo yote hivyo ameamua kumtumia polepole kama mtu wa kumuhakikishia kuwa anaivuruga uvccm na hatimaye kuukwaa ukuu wa jumuiya hii adhimu ya ccm, hivyo polepole amekua akifanya kila analoliweza kuhakikisha kuwa anaviza utendaji kazi wa uvccm, anaingilia majukumu ya jumuiya, na pindi anapojishughulisha na kazi za vijana kiungo anayemtumia ni zenda pekee kwani anataka kumfanya yeye ndio aonekane kama mtu pekee anayeweza kufanya shughuli za jumuiya na za vijana kwa ujumla.
Kwanini nasema Polepole anampoteza zenda?
(1) CCM na Jumuiya zake inayo utaratibu wa kufanya kazi. Polepole anamshughulisha Zenda kuuvunja utaratibu wa CCM na Jumuiya zake kwenye uhusiano wa kikatiba na Kikanuni wa kufanya kazi.
(2) Msimamizi Mkuu wa shughuli za UVCCM ni Katibu Mkuu, lakini Polepole akadandia majukumu ya mwenye nayo kwa kupitia Zenda na kuyahodhi mamlaka hayo kwa lengo lao la msingi la kuivuruga UVCCM.
(3) Polepole anyemgombea wake wa uwenyekiti UVCCM (ninamuhifadh jina kwa awamu hii) Hivyo kiungo mchezeshaji kwenye harakati hizo ni Zenda, na Zenda kaamua kuwa mwendawazimu zaidi ya uwendawazimu wake unaofahamika.
(4) Polepole amemuhakikishia Zenda na washirika wake kuwa yeye ndiye Katibu mkuu wa CCM ajaye kwasababu kinana ataondoshwa katika nafasi hiyo na kukikalia kiti, pia amemfahamisha zenda kuwa atampambania awe katibu mkuu uvccm ajaye ili wafanye kazi pamoja.
(5) Polepole anamremote control Zenda kuandaa mambo yasiyo ya ukweli mfano kupanga safu na kupokea rushwa na kutafuta namna ya kuzipenyesha kwa rais. Na hii imedhibitika juzi jumamosi siku ambayo rais alikwenda kigamboni.
Mwisho Ningependa kumshauri Polepole ajiheshimu na atulizane, maana tabia mbaya anoyoonyesha sio njema kwa afya ya CCM.
Pia Zenda ni mdhaifu sana kiuongozi na hana nasaba zozote za uongozi, anafanya kulazimisha mambo.
Usipopigwa na radi kutoka kwa MUNGU ukapotea, utapigwa kwa namna yeyote na wanadamu.
USIPOZIBA UFA, UTAJENGA UKUTA
Nakushukuru, majibu haya ndiyo niliyokuwa namtahadharisha Shalifa Masuzu kuwa suala hili kulileta hapa ni sawa na kujichoresha. Hapa asilimia 99 ni wasiyoitakia mema CCM na ni utoto kuleta sredi kama hii hapa maana utaambulia matusi kama ulivyofanyaTulieni mnyonyolewe vibaka wakubwa nyie.
Kwa muda mrefu sasa zenda amekua akisadikiwa kuisema vibaya uvccm kwa polepole na baadhi ya maofisa wa ccm Lumumba. Sababu ya kufanya hivyo iko wazi; (1) shirikisho kuondolewa na kuwekwa chini ya uvccm kama idara (2) kutopewa cheo kikubwa (unaibu katibu Mkuu au ukatibu mkuu) (3) kupenda kufanya kazi bila kufuata taratibu na mipango.
Kwasababu ya hayo yote hivyo ameamua kumtumia polepole kama mtu wa kumuhakikishia kuwa anaivuruga uvccm na hatimaye kuukwaa ukuu wa jumuiya hii adhimu ya ccm, hivyo polepole amekua akifanya kila analoliweza kuhakikisha kuwa anaviza utendaji kazi wa uvccm, anaingilia majukumu ya jumuiya, na pindi anapojishughulisha na kazi za vijana kiungo anayemtumia ni zenda pekee kwani anataka kumfanya yeye ndio aonekane kama mtu pekee anayeweza kufanya shughuli za jumuiya na za vijana kwa ujumla.
Kwanini nasema Polepole anampoteza zenda?
(1) CCM na Jumuiya zake inayo utaratibu wa kufanya kazi. Polepole anamshughulisha Zenda kuuvunja utaratibu wa CCM na Jumuiya zake kwenye uhusiano wa kikatiba na Kikanuni wa kufanya kazi.
(2) Msimamizi Mkuu wa shughuli za UVCCM ni Katibu Mkuu, lakini Polepole akadandia majukumu ya mwenye nayo kwa kupitia Zenda na kuyahodhi mamlaka hayo kwa lengo lao la msingi la kuivuruga UVCCM.
(3) Polepole anyemgombea wake wa uwenyekiti UVCCM (ninamuhifadh jina kwa awamu hii) Hivyo kiungo mchezeshaji kwenye harakati hizo ni Zenda, na Zenda kaamua kuwa mwendawazimu zaidi ya uwendawazimu wake unaofahamika.
(4) Polepole amemuhakikishia Zenda na washirika wake kuwa yeye ndiye Katibu mkuu wa CCM ajaye kwasababu kinana ataondoshwa katika nafasi hiyo na kukikalia kiti, pia amemfahamisha zenda kuwa atampambania awe katibu mkuu uvccm ajaye ili wafanye kazi pamoja.
(5) Polepole anamremote control Zenda kuandaa mambo yasiyo ya ukweli mfano kupanga safu na kupokea rushwa na kutafuta namna ya kuzipenyesha kwa rais. Na hii imedhibitika juzi jumamosi siku ambayo rais alikwenda kigamboni.
Mwisho Ningependa kumshauri Polepole ajiheshimu na atulizane, maana tabia mbaya anoyoonyesha sio njema kwa afya ya CCM.
Pia Zenda ni mdhaifu sana kiuongozi na hana nasaba zozote za uongozi, anafanya kulazimisha mambo.
Usipopigwa na radi kutoka kwa MUNGU ukapotea, utapigwa kwa namna yeyote na wanadamu.
USIPOZIBA UFA, UTAJENGA UKUTA
NIMUHIMU SANA KWA CHAMA NA JUMUIYA KUMCHUKULIA ZENDA HATUA ZA KINIDHAMU, MPAKA HAPO AMEKOSA MAADILI NA ANAPASWA KUSHUGHULIKIWA.
wacha funza waule mzoga!Kwa muda mrefu sasa zenda amekua akisadikiwa kuisema vibaya uvccm kwa polepole na baadhi ya maofisa wa ccm Lumumba. Sababu ya kufanya hivyo iko wazi; (1) shirikisho kuondolewa na kuwekwa chini ya uvccm kama idara (2) kutopewa cheo kikubwa (unaibu katibu Mkuu au ukatibu mkuu) (3) kupenda kufanya kazi bila kufuata taratibu na mipango.
Kwasababu ya hayo yote hivyo ameamua kumtumia polepole kama mtu wa kumuhakikishia kuwa anaivuruga uvccm na hatimaye kuukwaa ukuu wa jumuiya hii adhimu ya ccm, hivyo polepole amekua akifanya kila analoliweza kuhakikisha kuwa anaviza utendaji kazi wa uvccm, anaingilia majukumu ya jumuiya, na pindi anapojishughulisha na kazi za vijana kiungo anayemtumia ni zenda pekee kwani anataka kumfanya yeye ndio aonekane kama mtu pekee anayeweza kufanya shughuli za jumuiya na za vijana kwa ujumla.
Kwanini nasema Polepole anampoteza zenda?
(1) CCM na Jumuiya zake inayo utaratibu wa kufanya kazi. Polepole anamshughulisha Zenda kuuvunja utaratibu wa CCM na Jumuiya zake kwenye uhusiano wa kikatiba na Kikanuni wa kufanya kazi.
(2) Msimamizi Mkuu wa shughuli za UVCCM ni Katibu Mkuu, lakini Polepole akadandia majukumu ya mwenye nayo kwa kupitia Zenda na kuyahodhi mamlaka hayo kwa lengo lao la msingi la kuivuruga UVCCM.
(3) Polepole anyemgombea wake wa uwenyekiti UVCCM (ninamuhifadh jina kwa awamu hii) Hivyo kiungo mchezeshaji kwenye harakati hizo ni Zenda, na Zenda kaamua kuwa mwendawazimu zaidi ya uwendawazimu wake unaofahamika.
(4) Polepole amemuhakikishia Zenda na washirika wake kuwa yeye ndiye Katibu mkuu wa CCM ajaye kwasababu kinana ataondoshwa katika nafasi hiyo na kukikalia kiti, pia amemfahamisha zenda kuwa atampambania awe katibu mkuu uvccm ajaye ili wafanye kazi pamoja.
(5) Polepole anamremote control Zenda kuandaa mambo yasiyo ya ukweli mfano kupanga safu na kupokea rushwa na kutafuta namna ya kuzipenyesha kwa rais. Na hii imedhibitika juzi jumamosi siku ambayo rais alikwenda kigamboni.
Mwisho Ningependa kumshauri Polepole ajiheshimu na atulizane, maana tabia mbaya anoyoonyesha sio njema kwa afya ya CCM.
Pia Zenda ni mdhaifu sana kiuongozi na hana nasaba zozote za uongozi, anafanya kulazimisha mambo.
Usipopigwa na radi kutoka kwa MUNGU ukapotea, utapigwa kwa namna yeyote na wanadamu.
USIPOZIBA UFA, UTAJENGA UKUTA
Nakushukuru, majibu haya ndiyo niliyokuwa namtahadharisha Shalifa Masuzu kuwa suala hili kulileta hapa ni sawa na kujichoresha. Hapa asilimia 99 ni wasiyoitakia mema CCM na ni utoto kuleta sredi kama hii hapa maana utaambulia matusi kama ulivyofanya
Hao wote ni wajukuu wa Mbunge wa zamani wa Iramba Mh Yohana Nkurlu(1965 - 1970)
Halafu kuna watu wanasema huyu ni Le Utuz,ingawa big ni kilaza lakini sio kwa uandishi huuHizi elimu zenu za kimulugomulugo hizi ni shida.
Hasira za nn bi shosti hao uvccm kaa mbali utaumia na kuchafuka
Hizi elimu zenu za kimulugomulugo hizi ni shida.
Malizaneni kwa ngumi,uchawi,majungu,fitna mana ndio asili yenu uvccm,mkiona vipi mpelekane kwa polepoleKwa muda mrefu sasa zenda amekua akisadikiwa kuisema vibaya uvccm kwa polepole na baadhi ya maofisa wa ccm Lumumba. Sababu ya kufanya hivyo iko wazi; (1) shirikisho kuondolewa na kuwekwa chini ya uvccm kama idara (2) kutopewa cheo kikubwa (unaibu katibu Mkuu au ukatibu mkuu) (3) kupenda kufanya kazi bila kufuata taratibu na mipango.
Kwasababu ya hayo yote hivyo ameamua kumtumia polepole kama mtu wa kumuhakikishia kuwa anaivuruga uvccm na hatimaye kuukwaa ukuu wa jumuiya hii adhimu ya ccm, hivyo polepole amekua akifanya kila analoliweza kuhakikisha kuwa anaviza utendaji kazi wa uvccm, anaingilia majukumu ya jumuiya, na pindi anapojishughulisha na kazi za vijana kiungo anayemtumia ni zenda pekee kwani anataka kumfanya yeye ndio aonekane kama mtu pekee anayeweza kufanya shughuli za jumuiya na za vijana kwa ujumla.
Kwanini nasema Polepole anampoteza zenda?
(1) CCM na Jumuiya zake inayo utaratibu wa kufanya kazi. Polepole anamshughulisha Zenda kuuvunja utaratibu wa CCM na Jumuiya zake kwenye uhusiano wa kikatiba na Kikanuni wa kufanya kazi.
(2) Msimamizi Mkuu wa shughuli za UVCCM ni Katibu Mkuu, lakini Polepole akadandia majukumu ya mwenye nayo kwa kupitia Zenda na kuyahodhi mamlaka hayo kwa lengo lao la msingi la kuivuruga UVCCM.
(3) Polepole anyemgombea wake wa uwenyekiti UVCCM (ninamuhifadh jina kwa awamu hii) Hivyo kiungo mchezeshaji kwenye harakati hizo ni Zenda, na Zenda kaamua kuwa mwendawazimu zaidi ya uwendawazimu wake unaofahamika.
(4) Polepole amemuhakikishia Zenda na washirika wake kuwa yeye ndiye Katibu mkuu wa CCM ajaye kwasababu kinana ataondoshwa katika nafasi hiyo na kukikalia kiti, pia amemfahamisha zenda kuwa atampambania awe katibu mkuu uvccm ajaye ili wafanye kazi pamoja.
(5) Polepole anamremote control Zenda kuandaa mambo yasiyo ya ukweli mfano kupanga safu na kupokea rushwa na kutafuta namna ya kuzipenyesha kwa rais. Na hii imedhibitika juzi jumamosi siku ambayo rais alikwenda kigamboni.
Mwisho Ningependa kumshauri Polepole ajiheshimu na atulizane, maana tabia mbaya anoyoonyesha sio njema kwa afya ya CCM.
Pia Zenda ni mdhaifu sana kiuongozi na hana nasaba zozote za uongozi, anafanya kulazimisha mambo.
Usipopigwa na radi kutoka kwa MUNGU ukapotea, utapigwa kwa namna yeyote na wanadamu.
USIPOZIBA UFA, UTAJENGA UKUTA
Kama unafahamu kuandika vizuri si ungeandika... kwenda hukoooo. Ungenikosoa kwenye kilugha changu ningekuelewa
Mbona hueleweki au uko kwenye deiz zako?