Polepole tusemee na bei internet (bundle), tunapigwa?

Polepole tusemee na bei internet (bundle), tunapigwa?

cartel
/kɑːˈtɛl/

noun
an association of manufacturers or suppliers with the purpose of maintaining prices at a high level and restricting competition.

Wameungana kuhakikisha hakuna mwekezaji mingine atagusa "kondoo"wao! Wanachangishana kufadhili shughuli za wanamtandao, rejea akili ya Nape kwa Byabato!
Wamemwekea kauzibe Elon Musk!
 
1. Bei ya bundle ni kubwa kuliko Cuba? Maana wanyonge tunateseka kimya kimya hakuna pa kusemea. wengine biashara zetu bila internet tutakufa njaa.

2. Internet ni huduma si biashara Born town mtandao ikiwa wanatufanyia michezo tujue.
Akusemee wewe ukiwa wapi?
 
mleta mada ni mmoja ya mizigo isiyonatija kwa Taifa.

Polepole ni katika waliohusika kuhakikisha bei ya Bando inapandishwa kwa kuwabambikia makodi ya juu makampuni ya simu ili tu waTZ wakose uwezo wakutumia Internet vizuri. hayo mambo yalifanyika wakati wa JIWE
 
1. Bei ya bundle ni kubwa kuliko Cuba? Maana wanyonge tunateseka kimya kimya hakuna pa kusemea. wengine biashara zetu bila internet tutakufa njaa.

2. Internet ni huduma si biashara Born town mtandao ikiwa wanatufanyia michezo tujue.
Kama mnakumbuka, Kikwete alienda Vietnam akaleta wawekezaji Viatel (Halotel) wakashirikiana na serikali na kujenga mkongo wa taifa wa mawasiliano.

Serikalo ikasema itasambaza mkongo wa taifa wa mawasiliano katika ofisi na shule zote za serikali. Pia, bando zitashuka na huduma za simu zitaimarika.

Halotel walijenja minara ya simu nchi nzima kama uyoga.

Kweli mwanzoni Halotel walikuwa na bando bei chini na ofa kibao lakini miaka ilivyokuwa inaenda nao wakawa kama wengine na leo hii intanet ya Halotel ipo hovyo sana. Sijui nini kimeikumba hiyo kampuni
 
mleta mada ni mmoja ya mizigo isiyonatija kwa Taifa.

Polepole ni katika waliohusika kuhakikisha bei ya Bando inapandishwa kwa kuwabambikia makodi ya juu makampuni ya simu ili tu waTZ wakose uwezo wakutumia Internet vizuri. hayo mambo yalifanyika wakati wa JIWE
Chai
 
Mwanaume mzima unalilia mtandaoni usemewe na mwanaume mwenzenu
 
Mbona Mwanaume Duli mwenzio anakula nchi wewe upo?
Sina njaa hizo.. we unaekomaa unatiki october una RR ngapi?
Au ndo wale mnapewa hela zinaishia nyumbani kwako tu, ukiumwa hata Apollo huwezi lipa. Mazuzu wa CCM ni laana kwa taifa. Ulafi wa watu wachache taifa zima linaangamia. Shame on you na kizazi chako
 
Back
Top Bottom