Polepole tunaomba maoni yako kwa kinachofanyika leo

Polepole tunaomba maoni yako kwa kinachofanyika leo

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
50,298
Reaction score
96,560
Huoni wamekupiga chenga ya mwili?

Kwamba majina yatatumwa Dodoma na si lazima walioshinda kura za maoni ndio wapigiwe kura. They can come with their names ...particularly Menyekiti,katibu...It seems wameona machawa yao wametupwa wanatafuta namna ya kuya salvage1

Tunaomba maoni yako....
 
Mkuu uelewa wako unazidi kiiwa mdogo zaidi.

Siku zote miaka yote sio lazima walioshinda kura za maoni ndio walipigiwe kura. Hili lipo siku zote na sio ccm tu hata chadema na vyama vingine.

Walichojadili ccm Leo Ni kubatilisha kile walichokiweka January. Majina yalitakiwa matatu ndio yaende kwa wajumbe, Sasa hivi majina yanaweza kuwa matatu au na zaidi.

Imani yangu umeelewa
 
Huoni wamekupiga chenga ya mwili?

Kwamba majina yatatumwa Dodoma na si lazima walioshinda kura za maoni ndio wapigiwe kura. They can come with their names ...particularly Menyekiti,katibu...It seems wameona machawa yao wametupwa wanatafuta namna ya kuya salvage1

Tunaomba maoni yako....
Kimsingi hata haya mabadiliko ya katiba hayawezi kutumika kwa uchaguzi huu 2025 ambapo tayari mchakato ulishaanza na upo katikati, hivyo ni madiliko batili kwa matumizi ya uchaguzi wa 2025. Huwezi badili sheria na hizo sheria zikaanza kutumika kwa kesi ambazo tayari zipo mahakamani.

Kamati za wilaya na mkoa zilisha chakata majina matatu, halafu unabadili katikati sheria ili ubadili msimamo wa league na kwa manufaa ya nani?

Utumiaji wa mabailiko hayo ni mwendelezo wa ukiukaji wa katiba na taribu zao wenyewe, ni siyo halali kuanza kutumika.
 
Back
Top Bottom