Black Tanzanite
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 589
- 763
Anasema CUBA mtungi wa kilo 20 gas ni "ALUFUMBILI" tena uso mkavu haya kakosa....ukibisha utaskia "SASA UNABISHA URIKUWEEPOO...URIKUWEPO?" 😆
Muhuni km babakoUharifu wake upowanzi kwa sas anachokifanya leo analetaa uhuni kama alivyo kuwa na lugha za kidikteta kwenye awamu ya 5, Taifa letu kwa sasa hatuko tayari na kwa uhuni anaoufanyaa ima achache imaa aendelee kuwaa chawa na watu alionao kwenye paaziaahaijapatakutokea.
View attachment 3461675
Vipi tena braza keshakumegea Mkeo nini?Uharifu wake upowanzi kwa sas anachokifanya leo analetaa uhuni kama alivyo kuwa na lugha za kidikteta kwenye awamu ya 5, Taifa letu kwa sasa hatuko tayari na kwa uhuni anaoufanyaa ima achache imaa aendelee kuwaa chawa na watu alionao kwenye paaziaahaijapatakutokea.
Mabeyo alicheza kama Pele mwaka 2021 baada ya kifo cha JPM. Kuna watu walidhani tayari wameshaifikia meza kuu lakini wakajikuta wakirudishwa nyuma.Uharifu wake upowanzi kwa sas anachokifanya leo analetaa uhuni kama alivyo kuwa na lugha za kidikteta kwenye awamu ya 5, Taifa letu kwa sasa hatuko tayari na kwa uhuni anaoufanyaa ima achache imaa aendelee kuwaa chawa na watu alionao kwenye paaziaahaijapatakutokea.
View attachment 3461675
Ansbert,uko sahihi, sahihi kabisa. Lakini in the current political situation, kuna Simba mla watu yuko mlangoni. Kuna mtu anampiga asiumize watu, including na watoto wake, as long as anatetea Simba situumize, basi nitaunganaye naye kuokoa maisha yangu, regardless of the past history ya yeye kufuga Simba!
kumbe umejiunga jana naona ni convoy ya chawa assigned for that task to confront PolepolePOlepole nikiumbe kinachotakiwa kipuuzwe na kitengwa na jamii
Hawa vijana walio pewa hii kazi ya uchawa hawana akili kabisa , sijui kwa nini hii kazi wasichague hata vijana wanaojielewa🤔Alikuwa wenu hamkujua hilo...
Gawaneni vizuri ili wasiwe wanachoropoka.Kuna mwingine atachoropoka soon,
😂 Hivyo utambue kuwa hata anayempa hiyo kazi ni hamnazo mkuu.Kopo na mfunikoHawa vijana walio pewa hii kazi ya uchawa hawana akili kabisa , sijui kwa nini hii kazi wasichague hata vijana wanaojielewa🤔
Anayempa kazi yeye anamtumia tu kwa kumpa ujira.Ameona mleta mada ni mjingajinga tu,anapewa hela kiduchu kutetea ufisadi.😂 Hivyo utambue kuwa hata anayempa hiyo kazi ni hamnazo mkuu.Kopo na mfuniko
Ngoja wakuteke😆😂 Hivyo utambue kuwa hata anayempa hiyo kazi ni hamnazo mkuu.Kopo na mfuniko
Ndo nipo hapa mkuu,🥴Ngoja wakuteke😆
Hela mkuu,Tena mi sijajenga...ningechukua pia nikajengee wanangu🤒Anayempa kazi yeye anamtumia tu kwa kumpa ujira.Ameona mleta mada ni mjingajinga tu,anapewa hela kiduchu kutetea ufisadi.
toa ushahidi kuwa siyo 2,000. siyo keleleAnasema CUBA mtungi wa kilo 20 gas ni "ALUFUMBILI" tena uso mkavu haya kakosa....ukibisha utaskia "SASA UNABISHA URIKUWEEPOO...URIKUWEPO?" 😆
Hivi huyu anayetoa shutuma kwa Polepole si kichaa kweli, anaonekana kabisa kuwa ana dalili za kuchanganikiwa, kwanini serikali ya mauaji isimkamate na kumpeleka Milembe wanamwacha tu anaidhalisha familia yake?Uharifu wake upowanzi kwa sas anachokifanya leo analetaa uhuni kama alivyo kuwa na lugha za kidikteta kwenye awamu ya 5, Taifa letu kwa sasa hatuko tayari na kwa uhuni anaoufanyaa ima achache imaa aendelee kuwaa chawa na watu alionao kwenye paaziaahaijapatakutokea.
View attachment 3461675
hata ukipewa bado utaukataa kwa sababu UNAPENDA KUSIKIA NA KUONA UNACHOKIPENDA HATA KAMA NI CHA HOVYO ...nb SIJAKULAZIMISHA "KUAMINI HAKUNA" KAMA ANAVYOKULAZIMISHA UAMINI "KUNA" bwana pole pole🫵🤝toa ushahidi kuwa siyo 2,000. siyo kelele