Mkereketwa_Huyu
JF-Expert Member
- Feb 19, 2011
- 10,590
- 7,951
Serikali ya mauaji iliyopo madarakani inahaha sana, Yaani wanalipa watu kila kona kuja kutetea maovu yao, wanahaibika sana.Anayempa kazi yeye anamtumia tu kwa kumpa ujira.Ameona mleta mada ni mjingajinga tu,anapewa hela kiduchu kutetea ufisadi.
