Polepole: Rais Samia nakuheshimu bali sikuogopi

Polepole: Rais Samia nakuheshimu bali sikuogopi

Huyo Rostam sialikiwa amesha ikimbia nchi kipindi cha kikwete ajakaribishwa tena na jpm au ume sahau?
Ww hizo rasilimali kabla ya kuuzwa zilikuwa zina kusaidia nini kwenye maisha yako ya kila siku?
Umejianika tayari!

Mpaka hapa siwezi kujibizana na wewe tena
 
Huyo Rostam sialikiwa amesha ikimbia nchi kipindi cha kikwete ajakaribishwa tena na jpm au ume sahau?
Ww hizo rasilimali kabla ya kuuzwa zilikuwa zina kusaidia nini kwenye maisha yako ya kila siku?
Mkuu mimi naomba unipe elimhlu kidogo, umeandika jambo lililonistua sababu sikua najua. Rostam alikimbia nchi wakati wa kikwete?? Ilikuwaje akakimbia nchi wakati wa kikwete?
 
Ubaloziini ni lini kikawa cheo cha kimadaraka?Madaraka ninayo yaongelea hapa ni yale aliyo kuwa nayo kipindi cha JPM ambapo alikuwana uwezo wa kumbwekea mpaka waziri mkuu.
Watz wengi tuna upumbavu mwingi na ndio maana wana siasa wamesha tugeuza kama midoli,katika huu upumbavu wote huu unao endelea ndani ya nchi hii polepole ni moja wapo alio shiriki kuujenga alipokuwa na madaraka chini ya jpm.
Mkuu hata katibu mwenezi sio cheo cha kimadaraka. Pia polepole hana na Hakuna na ubavu wa kumbwekea majaliwa.

Ikiwa kuna katibu mwenezi mwingine aliwahi kufanya hivyo basi naamini lazima alichukuliwa hatua
 
Ukishaskia mtu anakwambia nakuheshimu lakini skuogopi ujue anakaribia kurusha ngumi
 
Amefanikiwa sana kuwa-frustrate watekaji na mashabiki wa utekaji.
 
Kama amuogopi aje aitishe hizi taka taka zake za kuitwa press mchana wa jua kali hapa nchini kama nafsi yake haijagawanyika na mwili.
Kwani wewe unayaogopa magari?toyo?..mbona unavuka barabara kwa uangalifu sana?
 
Back
Top Bottom