Van pebles
JF-Expert Member
- Oct 23, 2018
- 3,547
- 5,931
.....
Mkumbo kivipi?Nyie watu mnao fuata mikumbo huwa mna upumbavu mwingi.
Classmate unashangaa nini mwanetu kaamua liwalo na liwe hebu njoo Gaprena hapa tunywe supu ya samaki twende Mwime tukatafute maweToba....
Ndio tumefikia huku..😳
Kwani atakaemteka ni huyo mama au genge la wahuni?!Huyu jamaa ana elekea kuwa kichaa.
Humuogopi alafu wakati huo unaongea kutoka handakini?
Kwani anachoongea ni ukweli au uongo?Kama amuogopi aje aitishe hizi taka taka zake za kuitwa press mchana wa jua kali hapa nchini kama nafsi yake haijagawanyika na mwili.
Akili za kumjibu mnazo?Funaku kabisa!stress ya kutojibiwa inazidi kupanda
Funaku kabla hajasilimu aliitwa Jingalao 😂Akili za kumjibunazo.Funaku kabisa!
Kawa musulimina?Samualeko ndugu "funaku"!Funaku kabla hajasilimu aliitwa Jingalao 😂
Lema aliwaambia kwamba CCM wanashangilia wao CHADEMA wanaposhughulikiwa lakini siku wapinzani wakiisha itakuwa zamu yao! Wacha wapasuane!Ccm wanakulana wao kwa wao Sasa, patamu hapo.
Ubaloziini ni lini kikawa cheo cha kimadaraka?Madaraka ninayo yaongelea hapa ni yale aliyo kuwa nayo kipindi cha JPM ambapo alikuwana uwezo wa kumbwekea mpaka waziri mkuu.Crap!!
Kwani Pole Pole alifukuzwa au kuondolewa kwenye madaraka? Mbona inaonekana huelewi chochote?
Mtu ambaye ametafakari na kuamua kuachia nafasi yake utasemaje kuwa amekosa madaraka au amewekwa nje ya mfumo wa utawala!
Na yeye siaunde ngenge la kumlinda?Kwani atakaemteka ni huyo mama au genge la wahuni?!
Huyo Rostam sialikiwa amesha ikimbia nchi kipindi cha kikwete ajakaribishwa tena na jpm au ume sahau?Mkumbo kivipi?
Kumkataa Rostam kwa wizi wake ni mkubo
Kukemea ugawaji wa rasilimali zetu watanzania ukiwapo na wewe ni mkumbo?
Tafadhari bhana mlamba miguu