Polepole ni "double agent" wa CCM mjihadhari nae

Polepole ni "double agent" wa CCM mjihadhari nae

Wewe unaona kaanika madudu na kakusaidia kwa akili yako lakini sisi wenye akili za kujiongeza na kufikiria tumeliona la yeye kutumika kuwalaghai watu kama nyie msiofikiri kwa kiwango cha juu
Shukrani T.O
 
unakuja hapa kufanya nin sasa?
Mbowe watu wanam misconstrue wrongly! Huwezi kukaa gerezani miezi 8 ukasema huyu alikuwa mshirika wa samia! Never on earth! Sema Mbowe alikuwa bado anahitaji madaraka ndani ya CDM. The scale turned in an opposite direction, akaamua kujitoa na akikumbuka historia ya kampeni ya matusi.....
Unatambua kuwa kuna watu wako gerezani miaka na miaka wanahama magereza tu kwa kazi maalumu?jiongezo acha mawazo mgando!!
 
Wengi watakutukana hapa ni kwasababu unacho kisema si matamanii yao kukisikia, ukweli ni kwamba wakijua historia ya uazishaji wa vyama vingi nchi hii wasinge pata shida.
Ule mpango wa Mwalimu na akina ALM acha kabisa. Ni wachache sana
 
Siyo wa kwanza kufanya kazi hiyo kuna kina Mtikila,Slaa, Mbowe, Sumaye, Mrema, Zitto, Lowasa, Kingunge, Rungwe, Lissu,nk.

Mapinduzi ya kweli kwa watanzania yatatoka kwa VYAMA VYA WAFANYAKAZI na WAKULIMA watakapochoka siyo kwa wanasiasa na viongozi wa dini kwani wao ndiyo wafanyabiashara na wanawanunua masikini na wasio na ajira
Hakuna kitu kama hicho duniani, hizo ndiyo fikra potofu. Wengi hapo ni “useful” idiots.

Mtu kama Polepole ni genuine,
Mbowe ni umwamba - na egoism tu!

Simple as that
 
Back
Top Bottom