HAKI KWA WOTE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2022
- 2,691
- 2,303
- Thread starter
- #21
Hakuna kitu kama hicho, acha ujinga wako
"Uko sawa mapinduzi yeyote ya kweli hayawezi kuletwa na wanasiasa wapiga domo
Bolshevik party iliyofanya october revolution huko Urusi ililetwa na Wafanyakazi na wakulima
Siku wafanya kazi na Wakulima wakiweka mgomo dunia hii itayumba sana." hawa ndiyo waelewa achana na wewe maiti