ukinitaka nitaje vitu ambavyo navichukia maishani kwangu cha kwanza ni SHETANI na cha Pili ni huyu HUMPHREY POLEPOLE
Unamchukia Shetani Ila una tabia zake!
ukinitaka nitaje vitu ambavyo navichukia maishani kwangu cha kwanza ni SHETANI na cha Pili ni huyu HUMPHREY POLEPOLE
Kudanganya watu wazima kama watoto ni dhambi kubwa zaidi ya ufisadi wa Mali?Pole pole mwogope mungu!
Kudanganya watu wazima kama watoto ni dhambi kubwa zaidi ya ufisadi wa Mali.
Hawa watu unaowaongopea wana watoto wana wake wanamaamuzi pia katika himaya zao!
Uzalendo upi huo. Ukweli ni kwamba uenezi una maslahi kuliko ukuu wa wilaya.UZALENDO KWA NCHI YAKE NDIO MAANA AMEKUBALI KUACHA UKUU WA WILAYA NA KWENDA KULITUMIKIA TAIFA KUPITIA UENEZI NA ITIKADI NDANI YA CHAMA CHA MAPINDUZI KILICHOUNDA SERIKALI ILIYOUNDA WAKUU WA MIKOA NA WILAYA
Huna akili panya wewUZALENDO KWA NCHI YAKE NDIO MAANA AMEKUBALI KUACHA UKUU WA WILAYA NA KWENDA KULITUMIKIA TAIFA KUPITIA UENEZI NA ITIKADI NDANI YA CHAMA CHA MAPINDUZI KILICHOUNDA SERIKALI ILIYOUNDA WAKUU WA MIKOA NA WILAYA
Hata kupuuza wengine kwa sababu siyo wa upande wako siyo uzalendo, sisi sote ni watanzania! hata kama tunatofautiana mawazo kwanza hiyo ndiyo inakupa wewe kujishughurisha! kwa hiyo tuvumiiane tujenge hoja kama wao wanavyojenga hoja kwa yale wanayoyaona upande huu!Kwani nani kakwambia katiba mpya ndio uzalendo. Kua na serikali tatu ndio uzalendo? Wee inabidi kwanza upate darasa nini maana ya uzalendo.