Polepole: Mshahara wangu CCM ni chini ya milioni moja

mr mkiki

JF-Expert Member
Sep 22, 2016
5,588
11,668
Hayo yameelezwa na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa chama hicho, Humphrey Polepole alipokuwa akijibu maswali ya wananchi kupitia kipindi cha KIKAANGONI kinachoruka LIVE kila Jumatano saa 8 mchana kupitia ukurasa wa Facebook wa EATV.

Pole1.jpg

Uongo ni dhambi kama dhambi zingine mf. Kuuza unga, we kemea ufisadi wakati vitu vidogo unafanganya.

Hatuwez kukuamin wewe hata siku moja aisee uache mshahara Wa ukuu Wa wilaya 4milion na kitu uende kwenye Chini ya million? Acha uongo
 
View attachment 454539

UZALENDO KWA NCHI YAKE NDIO MAANA AMEKUBALI KUACHA UKUU WA WILAYA NA KWENDA KULITUMIKIA TAIFA KUPITIA UENEZI NA ITIKADI NDANI YA CHAMA CHA MAPINDUZI KILICHOUNDA SERIKALI ILIYOUNDA WAKUU WA MIKOA NA WILAYA
 
Du! Uzalendo kwa chama, kupenda ni kubaya
 
Jamaa kapiga mdomo kupitia katiba mpya kwa kujifanya mzalendo,kumbe ilikua gia ya kuji expose,saiv kapewa shavu.
Hawa kweli si watu wa kuwaamini.pesa sio mchezo
Kwani nani kakwambia katiba mpya ndio uzalendo. Kua na serikali tatu ndio uzalendo? Wee inabidi kwanza upate darasa nini maana ya uzalendo.
 
Kama anasema eti Magufuli anatekeleza ile katiba mpya iliyopendekezwa kwenye utawala wake,then utashangaa nini?
 
Jamaa kapiga mdomo kupitia katiba mpya kwa kujifanya mzalendo,kumbe ilikua gia ya kuji expose,saiv kapewa shavu.
Hawa kweli si watu wa kuwaamini.pesa sio mchezo
Alivyo kua anaitetea katiba ya walioba tutajua huyu mtu Wa ukwel Lkn duuh kumbe
 
Huwezi mdefine huyu jamaa anavyoonekana kwenye kitisheti cha magamba aisee!
Sasa chini ya million si inaishia kwenye mafuta ya V8 kwa juma moja tu, tutadanganyana hadi siku jua litakapoanza kuchomoza Kigoma kwenda Tanga!
 
huo uongo mtupu, katibu wa ccm wilaya anapata lbasic yake ya laki tisa na hamsini, , vipi katibu wa ccm mkoa .
 
Back
Top Bottom