GE2025 Polepole: Mpinzani wa kweli wa CCM ni CHADEMA, unakuwaje na amani kwenda kwenye uchaguzi Tundu Lissu yupo jela

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Just Pray

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
2,142
Reaction score
4,777
Mpinzani wa CCM wa kweli, ukiacha wakati wanakichakachua ni chama hiki cha CHADEMA, wafanye watakavyoweza viongozi waruhusiwe, wafanye kazi ni haki yao.

Kiongozi wao yuko jela, unakuwaje na amani kwenda kwenye uchaguzi wakati mpinzani wako na kiongozi wake kuu Bw. Tundu Lissu yupo jela. Hii haikubaliki na inaleta taswira mbaya sana kwa chama cha mapinduzi.
-Humphrey Polepole

Na hv ameshajua namna yakuwapata wakumuunga mkono basi ndio anapita humohumo.

Ukitaka kuungwa mkono na watu unamtaja Lissu tu hata kama unaongea pumba utaungwa mkono na hakuna atakaekuhoji pumba zako.

Ukimsikiliza Polepole utagundua yooote anayoongea ila hataki CCM itoke madarakani na hataki uchaguzi huru na wa haki ila anataka tu uchaguzi wakufarijiana.

Ndio maana anasisitiza zaidi reforms za ndani ya Chama chake ili nayeye apate nafasi ya keki.

Alikuwa na nafasi nzuri sana yakutusaidia kupata katiba aliyowahi kuipigania lakini alikaa kiiimya kwasababu alikuwa anakula.Na akawa na kiburi haswaa hadi anamuuliza mtu unaijua V8.

Polepole kinachomuuma ni yeye kukaa mbali na sahani la keki ambayo ilikuwa mikononi mwake wala sio uovu huo anaousema.

Lissu ana madhaifu yake kama binadamu wengine lakini ni heri yule tunamjua misimamo yake tangu muda hawa wengine wanaobadilika kutokana na keki iko wapi hapana kabsa.

Yule hata leo akiongea na mwenyekiti wake akapewa nafasi katika chama basi atarudi mbio bila hata kupepesa macho.
 
EU, US na Ulaya nzima hawatakitambua hiki kiini macho.
Baada ya uchaguzi huu feki watanganyika tujipange kufanya kazi na nchi zisizoheshimu Demokrasia na utawala bora aka Mchina, Mkorea, na Mrusi.
 
Kweli kabisa
 
Attachments

  • 20250825_082428.jpg
    20250825_082428.jpg
    239.6 KB · Views: 15
Ndio maana anasisitiza zaidi reforms za ndani ya Chama chake ili nayeye apate nafasi ya keki.

Polepole kinachomuuma ni yeye kukaa mbali na sahani la keki ambayo ilikuwa mikononi mwake wala sio uovu huo anaousema.

Yule hata leo akiongea na mwenyekiti wake akapewa nafasi katika chama basi atarudi mbio bila hata kupepesa macho.
Sio Polepole huyu aliyejiuzuru labda kama unamuongelea Polepole mwingine. Pitia hoja zake vizuri kisha uzipinge kwa hoja.
 
EU, US na Ulaya nzima hawatakitambua hiki kiini macho.
Baada ya uchaguzi huu feki watanganyika tujipange kufanya kazi na nchi zisizoheshimu Demokrasia na utawala bora aka Mchina, Mkorea, na Mrusi.

Hayo mataifa, China, Russia na N.Korea, japo nchi kama China serikali ina pesa nyingi, lakini wananchi wake ni hoi bin taabani. Hivyo kuyategemea mataifa hayo, maana yake umechagua umaskini na mateso kwa wananchi.
 
Back
Top Bottom