Polepole: Mimi nipo Tanzania

Kwa namba yangu ya nje naweza kuitumia popote pale ilimradi nalipia

Au naweza kuitumia kwa WhatsApp popote
 
Na hiyo Namba sio rahisi kuwa tracked au hacked kirahisi na wahuni🤣🤣🤣
 
Sawa, ila kwa mazingira ya sasa ni vigumu kusema aliyoyasema akiwa katika ardhi ya Tanzania, Mafwele angeshamteka na kumgeuza chakula cha mamba huko mto Rufiji.
 
Upatikanaji wake ukoje
 
namba hii uliyotoa iko tanzania? Kweli uko Tanzania?


+13057764396

Hii ni namba ya wapi?

Hahaa unafikiri yeye mjinga? Hayupo TZ na namshauri aendelee kukaa huko huko mpaka uchaguzi uishe ,wahuni siyo watu wazuri......#kataa_wahuni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…