yamindinda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2011
- 1,589
- 1,320
Nadhani ingekuwa vema kama ungepinga hoja zake kuliko kuleta matusiComrade wenu ana "Unyafuzi"
Nadhani ingekuwa vema kama ungepinga hoja zake kuliko kuleta matusiComrade wenu ana "Unyafuzi"
nadhani mkuu ungejaribu kutoa hoja pinzani kuliko kuishia kutukanaHana hadhi ya kusimamia lolote huyu kwa sasa. Ni sycophant tu huyu
Mkuu unaweza toa tofauti kati ya maendeleo ya vitu na watu???Sasa mbona wanahangaika na maendeleo ya vitu na kuacha maendeleo ya watu
Maisha bora kwa wananchi, viwanda, barabara n.k.Mkuu unaweza toa tofauti kati ya maendeleo ya vitu na watu???
Wapi nilipotukana mkuu? Sycophants ni watu wenye tabia ya kujipendekeza; they can't stay firmly on what they believe. They rather hold bamboo characteristics. The polepole wa bunge la katiba si polepole huyu anayekubali nguvu kutumika kama mbadala wa demokrasia. Sasa ni hoja gani ndugu niitoe kwa watu wenye caliber hiyo?nadhani mkuu ungejaribu kutoa hoja pinzani kuliko kuishia kutukana
Na: Idara ya itikadi na uenezi CCM Taifa.
12 May 2018
Dodoma.
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Ndg. Humphrey Polepole amefafanua kwa kina mahusiano yaliyopo kati ya maendeleo ya vitu na maendeleo ya watu katika mahafali ya Wanafunzi wa Vyuo na Vyuo Vikuu ambapo wanachama zaidi ya 1000 wa Vyuo na Vyuo Vikuu Mkoa wa Dodoma wamepatiwa vyeti vya heshima kwa kuwa wanachama wa CCM Kipindi chochote walichokuwepo chuoni.
Katika Sherehe hiyo iliyoandaliwa na Umoja wa Vijana wa CCM Mkoa wa Dodoma wakishirikiana na Seneti ya Vyuo na Vyuo vikuu Ndg. Polepole amewaeleza kwa kina wanavyuo hao kuwa juhudi zinazofanywa na Serikali ya Awamu ya Tano ni kuhakikisha maendeleo ya watu yanapatikana na kila linalofanywa na Serikali ni kwa manufaa ya watu.
"Ujenzi wa mradi wa Reli ya kisasa, ujenzi na ukarabati wa meli ikiwemo Mv Songea na Mv Njombe katika ziwa nyasa na zingine katika ziwa Victoria na Tanganyika nikwa lengo la kurahisisha usafiri na usafirishaji, mradi wa umeme kinyerezi 1, 2, 3 na Stigler's Gorge ni kwa lengo la kurahisisha upatikanaji wa umeme kwa uhakika na bei nafuu, ujenzi wa mabarabara, dawa hospitalini sasa zinapatikana kwa karibu asilimia 90%, mikopo ya wanafunzi wa Elimu ya Juu kila mwaka kwa sasa ni zaidi ya Bilion 400 na, yote haya na mengine mengi ni kuhakikisha, kufanikisha na kuhamasisha maendeleo ya watu wa Tanzania, kwa sababu maendeleo ya watu na vitu yanategemeana" amesisitiza Ndg. Polepole
Aidha Ndg. Polepole amesema Chama kitaendelea kuielekeza na kuisimamia Serikali katika suala la ajira ili kuhakikisha kuwa ajira kwa vijana zinaendelea kupatikana.
Wakati huo uo Ndg. Polepole ametumia hadhara hiyo kuwakumbusha wanafunzi kusoma kwa bidii na kuendelea kujibidiisha kutafuta maarifa kwa kujisomea hata watakapo hitimu masomo yao kwa faida ya jamii nzima kama ilivyokwenye ahadi namba (6) ya mwanaCCM
"Nitajielimisha kwa kadri ya uwezo wangu na kuitumia Elimu yangu kwa faida ya wote".
[HASHTAG]#HapaKaziTu[/HASHTAG]
Sidhani kama ni kweli kuwa Polepole amebadilisha uwelekeo wa kile alichokuwa akikisimamia??? labda toa baadhi ya mifano ambayo unadhani Polepole alikuwa akiisimamia awali na sasa yupo kinyume chakeWapi nilipotukana mkuu? Sycophants ni watu wenye tabia ya kujipendekeza; they can't stay firmly on what they believe. They rather hold bamboo characteristics. The polepole wa bunge la katiba si polepole huyu anayekubali nguvu kutumika kama mbadala wa demokrasia. Sasa ni hoja gani ndugu niitoe kwa watu wenye caliber hiyo?
Maisha bora kwa wananchi, viwanda, barabara n.k.
Polex2 alikuwa akiamini kwenye ujenzi wa Taasisi imara, na si watu imara. Leo ndicho chama chake kinasimamia? Polex2 alikiwa akiamini usawa na haki katika ushindani wa kivyama kwa kuzingatia nguvu ya hoja, hicho ndicho chama chake kinasimamia kwa sasa? Polex2 aliamini katiba mpya yenye kupunguza nguvu za kiutawala kuwa accumulated kwa mtu mmoja, hicho bado anasimamia? Naweza kukujazia jf yote hii kwamba the guy has changed and full of sycophantic behavior.Sidhani kama ni kweli kuwa Polepole amebadilisha uwelekeo wa kile alichokuwa akikisimamia??? labda toa baadhi ya mifano ambayo unadhani Polepole alikuwa akiisimamia awali na sasa yupo kinyume chake
kuna tofauti kati ya kufanya siasa kwa mwanafunzi chuoni na katibu wa itikadi kwenda chuoni kueleza malengo na dhamira ya chama.....kinachokatazwa ni wanafunzi kufanya siasa chuoni kwa lengo la wao kujikita zaidi kwenye masomo wakimaliza chuo wataingia huko kwenye siasa.....sidhani kama katibu wa itikadi na uenezi wa chadema akienda chuoni kuonana na wanafunzi au akiwaita sehemu kwa muda muafaka ni dhambi???Upuuzi mtupu! si raisi alikataa siasa vyuoni? au alikataa za upinzani? upuuzi mwingine huu wa polepole, au anakaidi amri ya m.kiti wake? kuwa ccm yataka kwanza 'ujitoe ufahamu'.
Rais amekataza siasa vyuoni, Polepole anaoiga siasa kama kawa. Tatizo ni pale wapinzani wakiganya siasaNa: Idara ya itikadi na uenezi CCM Taifa.
12 May 2018
Dodoma.
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Ndg. Humphrey Polepole amefafanua kwa kina mahusiano yaliyopo kati ya maendeleo ya vitu na maendeleo ya watu katika mahafali ya Wanafunzi wa Vyuo na Vyuo Vikuu ambapo wanachama zaidi ya 1000 wa Vyuo na Vyuo Vikuu Mkoa wa Dodoma wamepatiwa vyeti vya heshima kwa kuwa wanachama wa CCM Kipindi chochote walichokuwepo chuoni.
Katika Sherehe hiyo iliyoandaliwa na Umoja wa Vijana wa CCM Mkoa wa Dodoma wakishirikiana na Seneti ya Vyuo na Vyuo vikuu Ndg. Polepole amewaeleza kwa kina wanavyuo hao kuwa juhudi zinazofanywa na Serikali ya Awamu ya Tano ni kuhakikisha maendeleo ya watu yanapatikana na kila linalofanywa na Serikali ni kwa manufaa ya watu.
"Ujenzi wa mradi wa Reli ya kisasa, ujenzi na ukarabati wa meli ikiwemo Mv Songea na Mv Njombe katika ziwa nyasa na zingine katika ziwa Victoria na Tanganyika nikwa lengo la kurahisisha usafiri na usafirishaji, mradi wa umeme kinyerezi 1, 2, 3 na Stigler's Gorge ni kwa lengo la kurahisisha upatikanaji wa umeme kwa uhakika na bei nafuu, ujenzi wa mabarabara, dawa hospitalini sasa zinapatikana kwa karibu asilimia 90%, mikopo ya wanafunzi wa Elimu ya Juu kila mwaka kwa sasa ni zaidi ya Bilion 400 na, yote haya na mengine mengi ni kuhakikisha, kufanikisha na kuhamasisha maendeleo ya watu wa Tanzania, kwa sababu maendeleo ya watu na vitu yanategemeana" amesisitiza Ndg. Polepole
Aidha Ndg. Polepole amesema Chama kitaendelea kuielekeza na kuisimamia Serikali katika suala la ajira ili kuhakikisha kuwa ajira kwa vijana zinaendelea kupatikana.
Wakati huo uo Ndg. Polepole ametumia hadhara hiyo kuwakumbusha wanafunzi kusoma kwa bidii na kuendelea kujibidiisha kutafuta maarifa kwa kujisomea hata watakapo hitimu masomo yao kwa faida ya jamii nzima kama ilivyokwenye ahadi namba (6) ya mwanaCCM
"Nitajielimisha kwa kadri ya uwezo wangu na kuitumia Elimu yangu kwa faida ya wote".
[HASHTAG]#HapaKaziTu[/HASHTAG]
Tunachosema hayo yaendane na maisha ya wananchi mfano boresha mishahara ya watu, walipe madai yao kwa wakati, punguza makodi ili kushusha bei za bidhaa n.k.
- Unapojenga viwanda lengo ni kutengeneza ajira ambazo zitainua kipato cha watu wako....sasa sijui kama jambo hili halina uhusiano na maendeleo ya watu
- unapojenga barabara lengo ni kurahisisha usafirishaji wa bidhaa, pembejeo, wataalam na watu kuweza kushiriki kwenye shughuli mbalimbali sehemu moja mpaka nyingine na kwa haraka zaidi.......sasa sijui kama hili nalo halina uhusiano wa moja kwa moja na maendeleo ya wananchi
Polex2 alikuwa akiamini kwenye ujenzi wa Taasisi imara, na si watu imara. Leo ndicho chama chake kinasimamia? Polex2 alikiwa akiamini usawa na haki katika ushindani wa kivyama kwa kuzingatia nguvu ya hoja, hicho ndicho chama chake kinasimamia kwa sasa? Polex2 aliamini katiba mpya yenye kupunguza nguvu za kiutawala kuwa accumulated kwa mtu mmoja, hicho bado anasimamia? Naweza kukujazia jf yote hii kwamba the guy has changed and full of sycophantic behavior.
kwenye uchumi kuna nadharia, sheria na theory nyingi kuhusiana na maendeleo.....ndio maana wanasema kupanga ni kuchagua......unaweza ukaboresha mishara minono kwa wafanyakazi alafu ukawa na barabara mbaya, huduma mbovu za maji, umeme nakdharika...ni kama kwenye nyumba unapopanga bajeti je ni muhimu kununua mfuko wa Cement au kununua nyamaTunachosema hayo yaendane na maisha ya wananchi mfano boresha mishahara ya watu, walipe madai yao kwa wakati, punguza makodi ili kushusha bei za bidhaa n.k.