Just Pray
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 2,142
- 4,779
"Na hii lugha ya kusema mgombea ni mmoja ni makosa, sio kipindi hiki, hata kipindi cha Magufuli kuna baadhi ya viongozi walikuwa wanasema mgombea ni mmoja, siyo kweli na kwenye kauli rasmi ambayo mimi kwa wakati ule niliitoa kwa niaba ya Mwenyekiti wa CCM, tulisema tunafungua kwa watu wote hakuna fomu moja, lazima fomu zichukuliwe, lazima fomu zirudishwe na wadhamini, unyenyekevu, msingi wa chama chetu, tunaanza vikao... nilishindwa hata kuwapongeza, Unapongeza vipi kisicho halali?
Balozi Humphrey Polepole akizungumza na Waandishi wa habari leo Julai 18, 2025 mbashara kupitia ukurasa wake wa Facebook.
Balozi Humphrey Polepole akizungumza na Waandishi wa habari leo Julai 18, 2025 mbashara kupitia ukurasa wake wa Facebook.