Tetesi: Polepole kugombea urais October 2025

Tlaatlaah

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2023
Posts
36,152
Reaction score
30,857
Mazungumzo na vyama mbalimbali vya siasa yaendelea.

Mnyetishaji wa tetesi hii anadai, muungwana atoa sharti kwa vyama vyote vya upinzani nchini kuweka kando tofuti zao na kuungana ikiwa wanataka mabadiliko ya kweli.

Mnyetishaji ameendelea kueleza kwamba muungwana amejiuzulu ili apate nafasi ya kugombea urais.

Je, atatoboa mbadhirifu huyu mtakatifu wa mali za umma?
una maoni gani?

Mungu Ibariki Tanzania
 
Huyu hana lolote, debe tupu haliachi kuvuma. Huyu shida yake kubwa ni kua huko Havana Cuba alipopangiwa kazi ni pakavu mno kwa madili. Ndio kelele zote hizi. Wala hana sifa yoyote ya uongozi.
 
mazungumzo na vyama mballimbali vya siasa yaendelea.

Spinning za kijinga hizi jentro man
 
Tupia picha kwanza ya mama yeti mpendwa ili ku support Uzi wako!!

Mambo ni mengi sana!
 
mazungumzo na vyama mballimbali vya siasa yaendelea.
Mnyetishaji wa tetesi hii anadai, muungwana atoa sharti kwa vyama vyote vya upinzani nchini kuweka kando tofuti zao na kuungana ikiwa wanataka mabadiliko ya kweli.
Mnyetishaji ameendelea kueleza kwamba muungwana amejiuzulu ili apate nafasi ya kugombea urais.

Je, atatoboa mbadhirifu huyu mtakatifu wa mali za umma?
una maoni gani?

Mungu Ibariki Tanzania
Kumbe CCM mnajua kuwa mnalea wabadhirifu sasa kwqnini msiachie tu ikulu kiulaini
 
mazungumzo na vyama mballimbali vya siasa yaendelea.
Mnyetishaji wa tetesi hii anadai, muungwana atoa sharti kwa vyama vyote vya upinzani nchini kuweka kando tofuti zao na kuungana ikiwa wanataka mabadiliko ya kweli.
Mnyetishaji ameendelea kueleza kwamba muungwana amejiuzulu ili apate nafasi ya kugombea urais.

Je, atatoboa mbadhirifu huyu mtakatifu wa mali za umma?
una maoni gani?

Mungu Ibariki Tanzania
, wewe inaonekana umataki tena samia unamtaka pole pole kiufupi ueleweki unataka nini
 
Huyu hana lolote, debe tupu haliachi kuvuma. Huyu shida yake kubwa ni kua huko Havana Cuba alipopangiwa kazi ni pakavu mno kwa madili. Ndio kelele zote hizi. Wala hana sifa yoyote ya uongozi.
Sungura na mbichi hizi
 
mazungumzo na vyama mballimbali vya siasa yaendelea.
Mnyetishaji wa tetesi hii anadai, muungwana atoa sharti kwa vyama vyote vya upinzani nchini kuweka kando tofuti zao na kuungana ikiwa wanataka mabadiliko ya kweli.
Mnyetishaji ameendelea kueleza kwamba muungwana amejiuzulu ili apate nafasi ya kugombea urais.

Je, atatoboa mbadhirifu huyu mtakatifu wa mali za umma?
una maoni gani?

Mungu Ibariki Tanzania

Ujinga huu, ana Nini cha kuongoza upinzani? Anaweza kuwa na Malengo hayo, ila Chadema huo ujinga ndoto, labda Chauma, hata ACT hawatamtaka!
 
mazungumzo na vyama mballimbali vya siasa yaendelea.
Mnyetishaji wa tetesi hii anadai, muungwana atoa sharti kwa vyama vyote vya upinzani nchini kuweka kando tofuti zao na kuungana ikiwa wanataka mabadiliko ya kweli.
Mnyetishaji ameendelea kueleza kwamba muungwana amejiuzulu ili apate nafasi ya kugombea urais.

Je, atatoboa mbadhirifu huyu mtakatifu wa mali za umma?
una maoni gani?

Mungu Ibariki Tanzania
Ufitini wa mboga mboga bana🤣🤣🤣
#wahuniwameukalia
 
Sio CHADEMA LABDA HAO ACT NK

Katika watu ambao hawana uchungu na Tanganyika na mali zake wewe ni mmojawapo
 
Back
Top Bottom