Tetesi: Polepole kugombea urais October 2025

mazungumzo na vyama mballimbali vya siasa yaendelea.
Mnyetishaji wa tetesi hii anadai, muungwana atoa sharti kwa vyama vyote vya upinzani nchini kuweka kando tofuti zao na kuungana ikiwa wanataka mabadiliko ya kweli.
Mnyetishaji ameendelea kueleza kwamba muungwana amejiuzulu ili apate nafasi ya kugombea urais.

Je, atatoboa mbadhirifu huyu mtakatifu wa mali za umma?
una maoni gani?

Mungu Ibariki Tanzania
Hawezi kuwa kichaa hivyo polepole atakuwa mgombea wa ccm
 
mazungumzo na vyama mballimbali vya siasa yaendelea.
Mnyetishaji wa tetesi hii anadai, muungwana atoa sharti kwa vyama vyote vya upinzani nchini kuweka kando tofuti zao na kuungana ikiwa wanataka mabadiliko ya kweli.
Mnyetishaji ameendelea kueleza kwamba muungwana amejiuzulu ili apate nafasi ya kugombea urais.

Je, atatoboa mbadhirifu huyu mtakatifu wa mali za umma?
una maoni gani?

Mungu Ibariki Tanzania
Ehh siasa bana

Ova
 
Mbadhirifu ni wewe ambaye unatetea matapeli
 
Hako kajamaa ni kanafki tu kama wanafki wengine wanachama wa chama chake

He is not a presidential material

Mtu ni Dr. Mpango, huyo akigombea saa moja na nusu asubuhi nakua nimekwishampigia kura
 
mazungumzo na vyama mballimbali vya siasa yaendelea.
Mnyetishaji wa tetesi hii anadai, muungwana atoa sharti kwa vyama vyote vya upinzani nchini kuweka kando tofuti zao na kuungana ikiwa wanataka mabadiliko ya kweli.
Mnyetishaji ameendelea kueleza kwamba muungwana amejiuzulu ili apate nafasi ya kugombea urais.

Je, atatoboa mbadhirifu huyu mtakatifu wa mali za umma?
una maoni gani?

Mungu Ibariki Tanzania
Yaani unataka tuijadili hadithi yako? Umekusudia nini katika kuitengeneza hii hadithi?
 
Katika watu ambao hawana uchungu na Tanganyika na mali zake wewe ni mmojawapo
mihemko katika kila jambo ni kitu mbaya sana gentleman! mtu anatumia uhuru na haki yake ya kikatiba kisha wewe unapata mihemko? Ni mbaya sana gentleman 🐒
 
Iwe Umetumwa Kwa Makusudi Au Bahati Mbaya
Kwa Namna Yoyote Ile Hatutaingia Kwenye Huo Mtego Wako
 
Mazungumzo na vyama mbalimbali vya siasa yaendelea.

Mnyetishaji wa tetesi hii anadai, muungwana atoa sharti kwa vyama vyote vya upinzani nchini kuweka kando tofuti zao na kuungana ikiwa wanataka mabadiliko ya kweli.

Mnyetishaji ameendelea kueleza kwamba muungwana amejiuzulu ili apate nafasi ya kugombea urais.

Je, atatoboa mbadhirifu huyu mtakatifu wa mali za umma?
una maoni gani?

Mungu Ibariki Tanzania
Upuuzi mtu Endeleeni kulia na msiba huu
 
Huyu hana lolote, debe tupu haliachi kuvuma. Huyu shida yake kubwa ni kua huko Havana Cuba alipopangiwa kazi ni pakavu mno kwa madili. Ndio kelele zote hizi. Wala hana sifa yoyote ya uongozi.
Umemaliza mkuu
 
Sidhani kama anaweza kufanya hivyo, kwasababu kwa namna nchi yetu ilivyo,akitia timu tu wataanza kummonitor ili ajichanganye wamsweke rumande
 
Mazungumzo na vyama mbalimbali vya siasa yaendelea.

Mnyetishaji wa tetesi hii anadai, muungwana atoa sharti kwa vyama vyote vya upinzani nchini kuweka kando tofuti zao na kuungana ikiwa wanataka mabadiliko ya kweli.

Mnyetishaji ameendelea kueleza kwamba muungwana amejiuzulu ili apate nafasi ya kugombea urais.

Je, atatoboa mbadhirifu huyu mtakatifu wa mali za umma?
una maoni gani?

Mungu Ibariki Tanzania
Ushahidi uko wapi ili tukuamini?
 
Back
Top Bottom