Dadi Barnea
JF-Expert Member
- Nov 30, 2024
- 653
- 1,305
Chawa🚮🚮🚮🚮Mazungumzo na vyama mbalimbali vya siasa yaendelea.
Mnyetishaji wa tetesi hii anadai, muungwana atoa sharti kwa vyama vyote vya upinzani nchini kuweka kando tofuti zao na kuungana ikiwa wanataka mabadiliko ya kweli.
Mnyetishaji ameendelea kueleza kwamba muungwana amejiuzulu ili apate nafasi ya kugombea urais.
Je, atatoboa mbadhirifu huyu mtakatifu wa mali za umma?
una maoni gani?
Mungu Ibariki Tanzania