GE2025 Polepole, Kesho Rais Samia atachukua fomu, je, harakati zako zina tija CCM sasa?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Dr Adam Francis

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2011
Posts
464
Reaction score
687
Kwa wehenga wenzangu tuliohitimu kidato cha nne miaka ya 2000 mtaikumbuka riwaya ya Things fall apart ya Chinua Achebe. Hii ilikuwa ni riwaya ya kiada katika somo la English Literature kwaajili ya mtihani wa Taifa wa kidato cha nne. Kutoka katika riwaya hii nitanukuu maongezi ya wahusika wakuu wawili kuhusu fikra zao kuwakabili wakoloni kujenga hoja yangu.

Okonkwo:"Then let us fight them. Let us drive them out of our land."

Obierika:"It is already too late," said Obierika sadly. Our own men and sons have joined the ranks of the stranger. They have joined his religion and they help to uphold his government. If we should try to drive out the white men, we would have to fight our own brothers."

Katika riwaya hii itakumbukwa msimamo mkali na hatua kali alizozichukua Okonkwo, sio tu hazikufanikiwa, bali zilimgharimu maisha yake. Obierika alihitimisha riwaya hii kwa kumuelezea Okonkwo kuwa “That man was one of the greatest men in Umuofia. You drove him to kill himself; and now he will be buried like a dog”

Siku si nyingi niliandika makala kusema "Uteuzi wa Samia kuwa mgombea wa CCM, ni Res judicata kwa sasa" nikiwa na maana ya kisheria kuwa limehitimishwa!

Katika vyama 19 vilivyo sajiliwa, vyama 18, aidha vimeshakamilisha uteuzi wa wagombea au vipo kwenye hatua mbalimbali za kufanya hivyo. Nani sasa unadhani ataunga mkono agenda yako kama sio CHADEMA peke yao wanaoendelea na No reforms, No election?

Ukweli ni kuwa, October 29, 2025 uchaguzi utafanyika, Rais Samia atashinda na kutangazwa, na CCM watajizolea majimbo yote na viti vyote vya udiwani kupitia wanachama wao zaidi ya milioni 13 watakaopiga kura. Kwa mtazamo huu narejea ushauri uliotolewa na Obierika kwa Okonkwo: "If I were you, I would have stayed at home. What you have done will not please the earth"
SAMIA'S NOMINATION IS RES JUDICATA BY NOW

View: https://vm.tiktok.com/ZMA1PwNjT/
 
Kwa wehenga wenzangu tuliohitimu kidato cha nne miaka ya 2000 mtaikumbuka riwaya ya Things fall apart ya Chinua Achebe. Hii ilikuwa ni riwaya ya kiada katika somo la English Literature kwaajili ya mtihani wa Taifa wa kidato cha nne. Kutoka katika riwaya hii nitanukuu maongezi ya wahusika wakuu wawili kuhusu fikra zao kuwakabili wakoloni kujenga hoja yangu.

Okonkwo:"Then let us fight them. Let us drive them out of our land."

Obierika:"It is already too late," said Obierika sadly. Our own men and sons have joined the ranks of the stranger. They have joined his religion and they help to uphold his government. If we should try to drive out the white men, we would have to fight our own brothers."

Katika riwaya hii itakumbukwa msimamo mkali na hatua kali alizozichukua Okonkwo, sio tu hazikufaniwa, bali zilimgharimu maisha yake. Obierika alihitimisha riwaya hii kwa kumuelea Okonkwo kuwa “That man was one of the greatest men in Umuofia. You drove him to kill himself; and now he will be buried like a dog”

Siku si nyingi niliandika makala kusema "Uteuzi wa Samia kuwa mgombea wa CCM, ni les judicata kwa sasa" nikiwa na maana ya kisheria kuwa limehitimishwa!

Katika vyama 19 vilivyo sajiliwa, vyama 18, aidha vimeshakamilisha uteuzi wa wagombea au vipo kwenye hatua mbalimbali za kufanya hivyo. Nani sasa unadhani ataunga mkono agenda yako kama sio CHADEMA peke yao wanaoendelea na No reforms, No election?

Ukweli ni kuwa, October 29, 2025 uchaguzi utafanyika, Rais Samia atashinda na kutangazwa, na CCM watajizolea majimbo yote na viti vyote vya udiwani kupitia wanachama wao zaidi ya milioni 13 watakaopiga kura. Kwa mtazamo huu narejea ushauri uliotolewa na Obierika kwa Okonkwo: "If I were you, I would have stayed at jome"
SAMIA'S NOMINATION IS LES JUDICATA NOW

Hawa wote wawili ni wa kutoka katika lile kusanyiko la Mahasimu na Waovu.
Endapo kama Wangekuwa wapo katika kambi mbili tofaufi, Basi harakati hizi zingekuwa na tija
 
Magufuli 2020 alichukua fomu kelele kama hizi sio nzuri sana na kama Rais Inatakiwa ukae sehemu kuangalia kwanini kuna kelele staili ya Mama kuingia Ngwe ya pili haina tofauti sana na Magu awamu 5 muhula wa pili suala Ia Fomu moja kuna la kujifunza
 
Si ajabu Pole pole keshaanza kujuta. Alioahidiana nao kumuunga mkono wameyeyuka. Poor Brain
 
Polepole anachoki gombania hakipo,mtandao wake umesha vunjwa vunjwa.

Kikulacho ki nguoni mwako!

Siyo kweli kabisa kwamba Watu wote ambao wamemzingira huyo mtu kwamba kweli wanampenda kutoka mioyoni mwao, la hasha.

Soma Kitabu kinavhoitwa:
"The Snake in Suits"

Aidha, Waingereza Wana msemo wao kwamba " There is more than one way of skinning a cat."
 
Kwa wehenga wenzangu tuliohitimu kidato cha nne miaka ya 2000 mtaikumbuka riwaya ya Things fall apart ya Chinua Achebe. Hii ilikuwa ni riwaya ya kiada katika somo la English Literature kwaajili ya mtihani wa Taifa wa kidato cha nne. Kutoka katika riwaya hii nitanukuu maongezi ya wahusika wakuu wawili kuhusu fikra zao kuwakabili wakoloni kujenga hoja yangu.

Okonkwo:"Then let us fight them. Let us drive them out of our land."

Obierika:"It is already too late," said Obierika sadly. Our own men and sons have joined the ranks of the stranger. They have joined his religion and they help to uphold his government. If we should try to drive out the white men, we would have to fight our own brothers."

Katika riwaya hii itakumbukwa msimamo mkali na hatua kali alizozichukua Okonkwo, sio tu hazikufaniwa, bali zilimgharimu maisha yake. Obierika alihitimisha riwaya hii kwa kumuelezea Okonkwo kuwa “That man was one of the greatest men in Umuofia. You drove him to kill himself; and now he will be buried like a dog”

Siku si nyingi niliandika makala kusema "Uteuzi wa Samia kuwa mgombea wa CCM, ni les judicata kwa sasa" nikiwa na maana ya kisheria kuwa limehitimishwa!

Katika vyama 19 vilivyo sajiliwa, vyama 18, aidha vimeshakamilisha uteuzi wa wagombea au vipo kwenye hatua mbalimbali za kufanya hivyo. Nani sasa unadhani ataunga mkono agenda yako kama sio CHADEMA peke yao wanaoendelea na No reforms, No election?

Ukweli ni kuwa, October 29, 2025 uchaguzi utafanyika, Rais Samia atashinda na kutangazwa, na CCM watajizolea majimbo yote na viti vyote vya udiwani kupitia wanachama wao zaidi ya milioni 13 watakaopiga kura. Kwa mtazamo huu narejea ushauri uliotolewa na Obierika kwa Okonkwo: "If I were you, I would have stayed at jome"
SAMIA'S NOMINATION IS LES JUDICATA NOW

Na Salum Mwalimu na Luaga Mpina

Haha 😄 🤣 😂
 
Ukiwa unakula na kushiba, akaja mtu kukuambia hicho unachokula kinatokana na wizi, huyo mtu utamwelewa? Utamsikiliza?
 
Kikulacho ki nguoni mwako!

Siyo kweli kabisa kwamba Watu wote ambao wamemzingira huyo mtu kwamba kweli wanampenda kutoka mioyoni mwao, la hasha.

Soma Kitabu kinavhoitwa:
"The Snake in Suits"

Aidha, Waingereza Wana msemo wao kwamba " There is more than one way of skinning a cat."
Nitasoma hiki kitabu kujielimisha zaidi.
 
Kwa wehenga wenzangu tuliohitimu kidato cha nne miaka ya 2000 mtaikumbuka riwaya ya Things fall apart ya Chinua Achebe. Hii ilikuwa ni riwaya ya kiada katika somo la English Literature kwaajili ya mtihani wa Taifa wa kidato cha nne. Kutoka katika riwaya hii nitanukuu maongezi ya wahusika wakuu wawili kuhusu fikra zao kuwakabili wakoloni kujenga hoja yangu.

Okonkwo:"Then let us fight them. Let us drive them out of our land."

Obierika:"It is already too late," said Obierika sadly. Our own men and sons have joined the ranks of the stranger. They have joined his religion and they help to uphold his government. If we should try to drive out the white men, we would have to fight our own brothers."

Katika riwaya hii itakumbukwa msimamo mkali na hatua kali alizozichukua Okonkwo, sio tu hazikufaniwa, bali zilimgharimu maisha yake. Obierika alihitimisha riwaya hii kwa kumuelezea Okonkwo kuwa “That man was one of the greatest men in Umuofia. You drove him to kill himself; and now he will be buried like a dog”

Siku si nyingi niliandika makala kusema "Uteuzi wa Samia kuwa mgombea wa CCM, ni les judicata kwa sasa" nikiwa na maana ya kisheria kuwa limehitimishwa!

Katika vyama 19 vilivyo sajiliwa, vyama 18, aidha vimeshakamilisha uteuzi wa wagombea au vipo kwenye hatua mbalimbali za kufanya hivyo. Nani sasa unadhani ataunga mkono agenda yako kama sio CHADEMA peke yao wanaoendelea na No reforms, No election?

Ukweli ni kuwa, October 29, 2025 uchaguzi utafanyika, Rais Samia atashinda na kutangazwa, na CCM watajizolea majimbo yote na viti vyote vya udiwani kupitia wanachama wao zaidi ya milioni 13 watakaopiga kura. Kwa mtazamo huu narejea ushauri uliotolewa na Obierika kwa Okonkwo: "If I were you, I would have stayed at jome"
SAMIA'S NOMINATION IS LES JUDICATA NOW
Mwamba umewatesa kweli hapa chadema, umewaumiza!!
 
TIJA IPO SANA TU.
 
Kumbuka udaktari hauokotwi, ni taji unalolipata baada ya mchakato mrefu wa kitaaluma. Usione wivu tukijitambulisha nao, maana tumeusotea.
Ni Tanzania pekee duniani wasomi wanakua chawa wa wanasiasa, bila hivyo hawatoboi watalala njaa.
 
Kwa wehenga wenzangu tuliohitimu kidato cha nne miaka ya 2000 mtaikumbuka riwaya ya Things fall apart ya Chinua Achebe. Hii ilikuwa ni riwaya ya kiada katika somo la English Literature kwaajili ya mtihani wa Taifa wa kidato cha nne. Kutoka katika riwaya hii nitanukuu maongezi ya wahusika wakuu wawili kuhusu fikra zao kuwakabili wakoloni kujenga hoja yangu.

Okonkwo:"Then let us fight them. Let us drive them out of our land."

Obierika:"It is already too late," said Obierika sadly. Our own men and sons have joined the ranks of the stranger. They have joined his religion and they help to uphold his government. If we should try to drive out the white men, we would have to fight our own brothers."

Katika riwaya hii itakumbukwa msimamo mkali na hatua kali alizozichukua Okonkwo, sio tu hazikufaniwa, bali zilimgharimu maisha yake. Obierika alihitimisha riwaya hii kwa kumuelezea Okonkwo kuwa “That man was one of the greatest men in Umuofia. You drove him to kill himself; and now he will be buried like a dog”

Siku si nyingi niliandika makala kusema "Uteuzi wa Samia kuwa mgombea wa CCM, ni les judicata kwa sasa" nikiwa na maana ya kisheria kuwa limehitimishwa!

Katika vyama 19 vilivyo sajiliwa, vyama 18, aidha vimeshakamilisha uteuzi wa wagombea au vipo kwenye hatua mbalimbali za kufanya hivyo. Nani sasa unadhani ataunga mkono agenda yako kama sio CHADEMA peke yao wanaoendelea na No reforms, No election?

Ukweli ni kuwa, October 29, 2025 uchaguzi utafanyika, Rais Samia atashinda na kutangazwa, na CCM watajizolea majimbo yote na viti vyote vya udiwani kupitia wanachama wao zaidi ya milioni 13 watakaopiga kura. Kwa mtazamo huu narejea ushauri uliotolewa na Obierika kwa Okonkwo: "If I were you, I would have stayed at jome"
SAMIA'S NOMINATION IS LES JUDICATA NOW
Nadhani hakuna wa kumzuia kufanya lolote, ila waTanzania walichofanya ni kulikabidhi jambo hilo kwa Mungu mwenyewe aamua. Lolote atakaloamua Mungu ndilo tutatakiwa kulifuata.
 
Unafikiri Pole pole hajui kama SAA100 atachukua form hiyo kesho?...

Back
Top Bottom