Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,488
- 100,883
Haahhahaaaaaaaa kazi kweli
Vicky komba kikwete!!hope umeridhika
Sio kawaida kwa wabunge wa Jamhuri kuonyesha urafiki kati yao.
Ngoja wampeleke Komba alikokuwa Lipumba na ambako yuko Babu Seya na mwanaye!!! Ukimchukua mtu wake, kisasia chake ni kibaya!!! Tena ambaye wameshare familia!!! Kaa mbali mzee wa kitambi. Hope baada ya matibabu nje wamepunguza mafuta hutasinzia tena Bungeni!!
Hiki kinamfaa huyu kada wa gamba
![]()
Joka la kibisa hilo,na hilo tumbo unafikri anaweza kazi,anako................lea pembeni au juu basi,habari yake imekwisha!
hapo sema hatuvisikii viti lakini ungekuta vinasema ''hili furushi zito kaka''kama kifusi cha Tanroad...viti vitatu vitatu...
Vicky komba kikwete!!hope umeridhika