Polepole Kapteni Komba, JK akijuaaaaa!!!!

297146_2385598368042_1104571727_n.jpg
Jamani, kumbe haya ndo mambo komba anayoyafanya wakati mkuu akiwa nje ya nchi??


Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Hawezi kujiweka pale kwa sasa,VK yuko tawi jingine!wewe unadhani kwa nini report ya Ngwilizi inasua sua?sababu wanaogopa kumchafua mama nyumba ndogo ya mkulu!
 
Kapteni kuna wimbo wake mmoja mzuri kweli...eti kitanda cha baba na mama kimeingia shubiri,lol!
 
Ngoja wampeleke Komba alikokuwa Lipumba na ambako yuko Babu Seya na mwanaye!!! Ukimchukua mtu wake, kisasia chake ni kibaya!!! Tena ambaye wameshare familia!!! Kaa mbali mzee wa kitambi. Hope baada ya matibabu nje wamepunguza mafuta hutasinzia tena Bungeni!!
 
... a little Physics for the Captain, kupandishia vitu vitatu hakuimarishi stability ya mkao iwapo ni kimoja tu ndo kimegusa chini, sana sana vimeongeza uzito wa Komba, vimepandisha juu the center of gravity, na vimepunguza moment of inertia ya Komba, au resistance to rotation, kwa hiyo tendency ya kubiduka, imeongezeka.

....back to the PDA, mwanamke anaejiheshimu hawezi kukubali umpelekee kono hadharani, the street code that every postpubescent boy knew is that ukipeleka kono akatulia ujue anataka. She doesnt deserve the president.
 
Back
Top Bottom