Polepole kapigwa sapana?

Polepole kapigwa sapana?

MkuuXyz

Senior Member
Joined
Jun 18, 2025
Posts
161
Reaction score
269
Wadau Mbona Pole Pole hapatikani LIVE FACEBOOK/YOUTUBE, kuna Mwenye Updates zozote ? Au Kapigwa Spana ??? Si alitangaza kuwa ataingia LIVE LEO 21.08.2025 SAA MBILI USIKU ?
 
bado , vyoyote iwavyo, ataongea tu...
 
Wadau Mbona Pole Pole hapatikani LIVE FACEBOOK/YOUTUBE, kuna Mwenye Updates zozote ? Au Kapigwa Spana ??? Si alitangaza kuwa ataingia LIVE LEO 21.08.2025 SAA MBILI USIKU ?

Wanasema mkata switch ana ID joined 2025?

Isije kuwa unapima ufanisi wa kazi?
 
Wadau Mbona Pole Pole hapatikani LIVE FACEBOOK/YOUTUBE, kuna Mwenye Updates zozote ? Au Kapigwa Spana ??? Si alitangaza kuwa ataingia LIVE LEO 21.08.2025 SAA MBILI USIKU ?

Wanasema mkata switch ana ID joined 2025?

Isije kuwa unapima ufanisi wa ukata switch?

"Zaidi sana kuna sehemu kadhaa umeme pia umegomba!"
 
Yaani mkataswitch anapiga mpaka umeme ? Hii serious matter
 
Hajaanza kuongea na sidhani kama ni tatizo la kukatiwa switch. Nasikia kuna mkubwa mmoja amemwangukia na kumwomba sana sana asiongee. Hili sina uhakika nalo lakini nimesikia mtu anazungumzia tangu mchana.
Mmh! Angetoa hudhuru kama ni hivyo
 
Hajaanza kuongea na sidhani kama ni tatizo la kukatiwa switch. Nasikia kuna mkubwa mmoja amemwangukia na kumwomba sana sana asiongee. Hili sina uhakika nalo lakini nimesikia mtu anazungumzia tangu mchana.
Duh...kama hivyo si mpunga mrefu sana utakua umetoka...kama ni kweli lakin mana mtu hawez kuanguka Bure Bure tu.
 
Back
Top Bottom