Aisee jana polepole alimtia aibu mh. Raisi, kamletea raisi mtu mleviHivi Polepole hana kazi kule Lumumba? Kila anapokwenda Rais na yeye yumo. Wataalmu wa siasa wa JF naomba msaada wenu hii imekaaje mpaka anamtia aibu rais kumwekea mlevi wa viroba kuhutubia Taifa.
Zamani nilidhani viroba vipo UKAWA tu kumbe hata wana CCM wameona vinalipa maana naona hata Polepole naye alikua kishakunywa viroba labda.
Aisee jana polepole alimtia aibu mh. Raisi, kamletea raisi mtu mlevi
Alcoho ni gari gani ilo jmn?Wewe unapimaga kiwango cha Alcoho umejuaje kama na wewe sio mlevi? acha unaaa
Hivi Polepole hana kazi kule Lumumba? Kila anapokwenda Rais na yeye yumo. Wataalmu wa siasa wa JF naomba msaada wenu hii imekaaje mpaka anamtia aibu rais kumwekea mlevi wa viroba kuhutubia Taifa.
Zamani nilidhani viroba vipo UKAWA tu kumbe hata wana CCM wameona vinalipa maana naona hata Polepole naye alikua kishakunywa viroba labda.
Meya wa Ubungo akikagua miradi ya jimbo lake anawekwa ndani kweli hiyo ni akili??kimekuudhi kipi mkuuu?? Rais anatekeleza ilani ya CCM kipi kimekushinda kuelewa