Polepole hana kazi kule Lumumba?

Mikutano ya kisiasa si ilikatazwa ama kwa upinzani tu!!! mlisema watu hawatofanya kazi ssa nauliza hapo kwa magufuli watu ndio wanafanya kazi ila akija mbowe ndio hawafanyi kazi ama??
Ulichokisema wewe ni sahihi kabisa tuna kaubaguzi hata mm nakili hilo
 
Mashinji ndio ana sura ya kupendwa sio? Kwanza mtu mwenyewe mweusi tii kama mkaa.
weusi nirangi ya kujivunia sisi waafrika Sasa ww mzungu au mtamani uzungu shabikia weupe ukiweza jichubue!!
Ni dharau kumpeleka mlevi akamhutubie rais...yaani rais ampishe mlevi aongee? Tena kwenye shughuli muhimu kitaifa!! Akili mbovu kabisa...mkuu mwenyewe alimkatisha baada yakuchoka stori zake za ujinga huku akimmwagia mvua ya mimate...ilikuwa kichekesho kinachoudhi!!
 
Kwani huo ni mkutano wa ccm au wa rais??? Kma ni kukabidhi kadi kwenye mkutano wa hadhara ssa kivp azuie mikutano ya wapinzani??? Si yale yale yye anafanya?? Kma sio muda wa siasa hizo kugawa kadi na mapambio ya ccm yanafanya nni hapo jukwaani???
unaisemeaje hii ya sumayi kwenda kukagua miradi ya maendeleo dsl
 
unaisemeaje hii ya sumayi kwenda kukagua miradi ya maendeleo dsl
Mradi ni siasa??? Si hta wwe unaweza kwenda kma mwananchi mpenda maendeleo??? Au hufurahii wakienda na kuchangia pesa kwa ajili ya maendeleo???kumbuka pale hamna mkutano ni watu wawili watatu wanaongozana kwenye mradi basi yanaisha huko huko

Sasa polepole kagawa kadi na wananchama kawaita na kanadi sera za ccm na katiba yao ssa ile sio siasa??? Au siasa ni pale tundu lisu au ben kigaila akiongoza mkutano wa M4C kalenga?????

Funny na undumilakuwili wenu
 
CCM ni chama dola, kiongozi yeyote mkuu ndani ya CCM ni kiongozi wako, Chama kinaongoza dola, Polepole anaeneza Ilani ya chama, lazima awepo
 
Back
Top Bottom