Polepole hana kazi kule Lumumba?

Mbase1970

JF-Expert Member
Jun 11, 2015
6,053
4,595
Hivi Polepole hana kazi kule Lumumba? Kila anapokwenda Rais na yeye yumo. Wataalmu wa siasa wa JF naomba msaada wenu hii imekaaje mpaka anamtia aibu rais kumwekea mlevi wa viroba kuhutubia Taifa.

Zamani nilidhani viroba vipo UKAWA tu kumbe hata wana CCM wameona vinalipa maana naona hata Polepole naye alikua kishakunywa viroba labda.
 
Aisee jana polepole alimtia aibu mh. Raisi, kamletea raisi mtu mlevi
 
Mambo ya kitaifa Polepole kafikaje tena?
Au kuna mawaziri anawakaimu?

Huyu jamaa nilijua ana uchungu na hali duni,upngozi mbaya dhidi ya watanzania kumbe hamna kitu ilikua uchu wa madaraka

Hakika nawaambia Mh.Raisi anawapa baadhi ya watu vyeo kuwakomesha uongo wao.Akapewa ukuu wa wilaya akaifyata
Huyo haeleweki maana hajajipambanua niupande gani anasimamia
 
polpoli anajitutumua lkn Hana sura wala moyo wa kupendwa kama kinana,sura inaashiria visa,Vita,njaa na kuchoka wakati kiongozi ukimwangalia yapasa uone matumaini,furaha,mafanikio,amani na neema. Huyu angekuwa dc wa kibiti maana Hana ushawishi Tena!
unatafuta mtu ukamwonyeshee rais alafu rais anakwambia mimi siangalii chama bado hujifunzi? Siatumie jukwaa lake asimvizie rais ili akajioneshee...poor boi
 
Hivi Polepole hana kazi kule Lumumba? Kila anapokwenda Rais na yeye yumo. Wataalmu wa siasa wa JF naomba msaada wenu hii imekaaje mpaka anamtia aibu rais kumwekea mlevi wa viroba kuhutubia Taifa.

Zamani nilidhani viroba vipo UKAWA tu kumbe hata wana CCM wameona vinalipa maana naona hata Polepole naye alikua kishakunywa viroba labda.

pombe pombe pombe......mi nikajua ni kampeni, kumbe makomeo alienda kuzindua miradi bana.
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom