Polepole fuata sheria za kazi, saa 3 usiku siyo muda wa kazi

Mfanyakazi hasa wa umma unatakiwa uwe standby 24/7 ,kama inahitajika ufafanuzi ni sawa autoe,kama hana anaweza kusema kwasasa sina takwimu sahihi ila kesho nitatoa na kama wana utaratibu wa overtime basi inabidi arequest overtime ili alipwe kwa kufanya kazi nje ya muda.
 
We lie and dramatize so much that, governance seems like another futuhi. Utumishi wa umma umebadilishwa TORs, and not in a constructive way.

This will never end well!
 

CCM haitegemei hilo igizo, bali inategemea madaraka ya mwenyekiti wake kupitia kofia ya Urais.
 
Kwani chadema wanasemaje hawajatoa tamko bado

Hivi unakumbuka yale maigizo wakati yesu kaingia madarakani ikawa kufanya usafi kila jumamosi? Tupe mrejesho wa usafi wa hapa Dar, au kick limebuma? Polepole naye anakuja na kick hizohizo outdated!
 
Mtu maskini unasema watu wasifanye kazi saa tatu usiku eti ni udikteta wakati matajiri wanafanya kazi saa 24. Watu wa SACCOSS hovyo sana hayo anayoyafanya Haraka haraka ni kwa manufaa ya taifa ikiwa pamoja na wewe mwenyewe, babu/bibi zako na wanjamii wanaokuzunguka.
 
Mbona hata Mimi pia nimekuambia kuhusu 'Ujuha' wako wote ambao yawezekana Watu wakawa wanaogopa Kukuambia ili Mimi 'nimekuchana' leo.
Lililo wazi ni kuwa wewe ni MSHAMBA. Au umeingia mjini siku za karibuni na shule ndio iliyokuleta mjini. Mara nyingi watu wa aina yako ni tatizo sana kwani wanajihisi wanajua kuliko wengine wakati sivyo.

Hawaachi kujimwambafai kwa kiwango unacho onyesha wewe hadi watokee watu wawaeleze ukweli kuwa "ACHA USHAMBA".
Nikuambialo ni la kweli kama unabisha subiri uone post hii itakavyo ungwa mkono kesho kukipambazuka.

Acha ushamba GENTAMYCINE
 
Mnaopiga kelele hamjakuwa na matatizo. Tumepata pa kusemea mwacheni polepole atatue kero za wenye shida.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…