Sijapewa username bado
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 1,765
- 2,878
Uko sahihiHapa ndio nashindwa kumuelewa huyu jamaa, unawezaje kuitofautisha CCM na hao wanamtandao, CCM inayenyewe na wenyewe ndio hao so called Wana mtandao kama yeye hayupo kwenye huo mtandao basi sio CCM huyo.
Wahuni wanafanya Chama km kitchen Party yao kumtoa Mwali send OffHapa ndio nashindwa kumuelewa huyu jamaa, unawezaje kuitofautisha CCM na hao wanamtandao, CCM inayenyewe na wenyewe ndio hao so called Wana mtandao kama yeye hayupo kwenye huo mtandao basi sio CCM huyo.
Labda wamekupeleka weweLucas Mwashambwa hivi huo ubalozi aliokimbia huyu dogo ameshapelekwa mtu?
Siyo kwa kasi hii waliyorudi nayoHapa ndio nashindwa kumuelewa huyu jamaa, unawezaje kuitofautisha CCM na hao wanamtandao, CCM inayenyewe na wenyewe ndio hao so called Wana mtandao kama yeye hayupo kwenye huo mtandao basi sio CCM huyo.
Magufuli aliwatimua sasa wamerudi kwa kasiInakaribia au ilishatekwa toka zamani!
Ina maana HP pamoja na kukaa kwake CCM hajuia mpaka leo wamiliki wa CCM?
ndani ya mitaa ya Kabul Afghanistan.
Magufuli aliwatimua sasa wamerudi kwa kasi
Apewe huyu Mwashambwa tafadhali sana mama tunamuombaLucas Mwashambwa hivi huo ubalozi aliokimbia huyu dogo ameshapelekwa mtu?
Yafaa mtekwe na kuuzwa utumwani kabisa.Agosti 13, 2025 wakati Humphrey Polepole akiendelea na mazungumzo yake kupitia mitandao ya kijamii ameeleza kuwa CCM inakaribia kutekwa na Wanamtandao na watu wanajua ingawa wanawaogopa ila yeye hawaogopi.
"Huku sisi tunakaribia kutekwa na kundi la wanamtandao mtu yeyete aliyekuwepo toka zamani anajua hizi issue. Sema watu wanawaogopa umenielewa eeh? kwa sababu hawa jamaa wana mbinu nyingi ndiyo maana watu wanawaogopa. Mimi siwaogopi hamna nafasi kwenye chama cha mapinduzi untill it's done" - Humphrey Polepole
View attachment 3440777
Na hawachomoki wanamtandao wana pesa na resources nyingi sanaSiyo kua wanakaribia, ndo wameshatekwa hivyo
Bado.Lucas Mwashambwa hivi huo ubalozi aliokimbia huyu dogo ameshapelekwa mtu?