Polepole: CCM ni Chama Cha Mungu wa Mbinguni

Chama cha Mungu hakiibi chaguzi, hakiteki, kutesa na kuuwa raia hakipandikizi chuki za kutisha miongoni mwa raia, hakinunui wana siasa wachumia tumbo kwa ufupi hakikumbatii udhalimu wa aina yoyote ile. CCM ni chama cha wahuni, wezi, mafisadi, watekaji, watoa rushwa na wapokea rushwa, wanaodhulumu Watanzania na WAUAJI.

Katibu wa uenezi ndugu Polepole kupitia kipindi cha kutekeleza ilani ya CCM kinachorushwa na TBC amesema CCM ni chama cha Mungu wa mbinguni. Polepole ameyasema hayo huko Malinyi mkoani Morogoro.
Source TBC

Johnthebaptist nikiwa hapa nchini Israel kiibada nawashauri wanasiasa wachunge sana ndimi zao kwani Mungu wa Mbinguni haziakiwi!
 
Sawa kabisa, na huyu mungu akamsadia kumuibia na kupora kura za upinzani, na sasa huyo mungu wake anaendelea kumsadia kutawala kwa kutisha watu ikiwa ni pamoja na kuwaua, poteza na wengine kuwapiga risasi za moto, bila kusahau double standard katika maamuzi.
Ninachojua serikali ya Magufuli imewekwa na Mungu.
Mungu hana chama.
 
Katibu wa uenezi ndugu Polepole kupitia kipindi cha kutekeleza ilani ya CCM kinachorushwa na TBC amesema CCM ni chama cha Mungu wa mbinguni. Polepole ameyasema hayo huko Malinyi mkoani Morogoro.
Source TBC

Johnthebaptist nikiwa hapa nchini Israel kiibada nawashauri wanasiasa wachunge sana ndimi zao kwani Mungu wa Mbinguni haziakiwi!
Katibu mwenezi wetu ana akili zinazofanya kazi polepole sana zaidi ya jina lake lilivyo. Wanaofuatilia mambo yake waanzie tangu alipokuwa kwenye Tume ya katiba mpya hadi sasa.
Kama alisoma hakuelimika kama ambavyi watanzania wengi wasomi walivyo: hawaelimiki. Nafikiri ulikuwa ni mkakati wa muda mrefu wa ccm; kuwa na taifa la mambumbumbu ili iendelee kuwa madarakani kwa muda mrefu. Taifa linatumia rasilimali nyingi kuandaa taifa la "wasomi wasio na elimu". Kama hamuamini, ushaidi ni katibu mkuu wa chama chetu.
 
Katibu wa uenezi ndugu Polepole kupitia kipindi cha kutekeleza ilani ya CCM kinachorushwa na TBC amesema CCM ni chama cha Mungu wa mbinguni. Polepole ameyasema hayo huko Malinyi mkoani Morogoro.
Source TBC

Johnthebaptist nikiwa hapa nchini Israel kiibada nawashauri wanasiasa wachunge sana ndimi zao kwani Mungu wa Mbinguni haziakiwi!
Bora kupiga nyeto kuliko kusikiliza haya mambo ya huyu takataka
 
Yaani jamaa anakiaibisha ccm anataka kututhibitishia kuwa ukiwa ccm huitaji ubongo
Kweli kabisa.

downloadfile-2.jpg
 
Katibu wa uenezi ndugu Polepole kupitia kipindi cha kutekeleza ilani ya CCM kinachorushwa na TBC amesema CCM ni chama cha Mungu wa mbinguni. Polepole ameyasema hayo huko Malinyi mkoani Morogoro.
Source TBC

Johnthebaptist nikiwa hapa nchini Israel kiibada nawashauri wanasiasa wachunge sana ndimi zao kwani Mungu wa Mbinguni haziakiwi!

Chakubanga aka chakubwengwa yaani anamatatizo yanafanana na mleta mada maana wote wanakonkiwa minds zao
 
Kama mungu nae ni mwana CCM basi ajitathimini
Katibu wa uenezi ndugu Polepole kupitia kipindi cha kutekeleza ilani ya CCM kinachorushwa na TBC amesema CCM ni chama cha Mungu wa mbinguni. Polepole ameyasema hayo huko Malinyi mkoani Morogoro.
Source TBC

Johnthebaptist nikiwa hapa nchini Israel kiibada nawashauri wanasiasa wachunge sana ndimi zao kwani Mungu wa Mbinguni haziakiwi!
 
Lengo la Polepole na kutufanya tumchukie Mungu kwa kutuaminisha kuwa ukatili na uonevu unaofanywa na CCM nchini na Mungu kama Mwanachama wa CCM anahusika.
Kwa hili bwana Polepole hatudanganyiki, tuonesheni kadi ya Shetani ambaye aliwahi kuwa mwanachama wenu lakini alivyoona mnafanya ukatili kuliko alivyowaelekeza akajitoa na kubaki mwanachama mfu.
 
Katibu wa uenezi ndugu Polepole kupitia kipindi cha kutekeleza ilani ya CCM kinachorushwa na TBC amesema CCM ni chama cha Mungu wa mbinguni. Polepole ameyasema hayo huko Malinyi mkoani Morogoro.
Source TBC

Johnthebaptist nikiwa hapa nchini Israel kiibada nawashauri wanasiasa wachunge sana ndimi zao kwani Mungu wa Mbinguni haziakiwi!
Duh yaani shetani amegeuka na kuwa Mungu? Hapana huu ulevi wa madaraka unawapeleka pabaya sana CCM, kuna siku mtakuja kuwasikia wakisema kuwa Mungu kamtembelea magufuli ikulu,aisee kwa Sababu Mungu hadhihakiwi their end is nigh
 
Vijana msipate pressure, huyu PP ana shida kubwa sana, Tika Ndugu Bashiru ampinge stop na kunfungia speed gavana, PP amewehuka.

Sisi baadhi ya wana CCM tunajua, kuwa Bashiru alimuita na kumsomea, kuwa kwanza astopishe ile tabia ya kujipelekesha kwa speed kali zaidi ya Katibu Mkuu wake, na asijiropokee kama yeye ndiye mwenye maamuzi ya chama, majibu yake kwa waandishi wa habari, umma na mitandao iwe yenye busara, uthibitisho na mbali na uongo na jejeli.

Pia alifahamishwa kuwa yeye ni muajiriwa wa ccm na bosi wake ni Bashiru period, NO OVERTAKING.

Pia tunajua kuwa baada ya Magu kuchaguliwa ni yeye ndiye aliyeanzisha na kushakizia Magufuli amkubalie nia ya Kinana justaafu, ilipokatiliwa na Magu, ndipo akaanza kujenga kundi lake la mtandao, kuluzungumzia ustaafu wa kinana, akitegemea kuwa yeye ndiye atakaye pewa hicho cheo, Alipochaguliwa Bashiru ndipo akaamua kuchukua usukani na kujarubu kumfinika Bashiru, akifikiria Magu atamuunga mkono.

Sasa ile EGO yake inamsumbua sana, hana raha, hana pakukimbilia, inasemekana anatafuta jimbo agombee ubunge akifikiria atapewa uwaziri awamu ya 6.
 
Katibu wa uenezi ndugu Polepole kupitia kipindi cha kutekeleza ilani ya CCM kinachorushwa na TBC amesema CCM ni chama cha Mungu wa mbinguni. Polepole ameyasema hayo huko Malinyi mkoani Morogoro.
Source TBC

Johnthebaptist nikiwa hapa nchini Israel kiibada nawashauri wanasiasa wachunge sana ndimi zao kwani Mungu wa Mbinguni haziakiwi!
Kwa nini asitengwe na kanisa lake kwa kufanya kufuru hii!!!!!
 
kama kuna watu hawataki kuamini kabisa kwamba israel ni taifa teule la Mungu na ni kama mtoto wake kabisa ndio wataamini CCM imetoka kwa Mungu ?

katika kila kauli kauli inayotolewa kuna sababu ya kutolewa kwa hiyo msichukue uamuzi wa kuona maneno ya polepole ni kashfa
 
Back
Top Bottom