kivyako
JF-Expert Member
- Feb 2, 2012
- 14,342
- 12,065
Sio akili zake zile tunazozifahamKichwa cha Polepole kina pancha...somewhere is not oky.
Sio akili zake zile tunazozifahamKichwa cha Polepole kina pancha...somewhere is not oky.
Miaka mitano uliopita nikiwa ziarani Mumbai India nilikutana Na Mungu akitembea barabarani akiwa amepambwa kwelikweli Na hivyo nikashtuka kwani nilidhani nyumba ilikuwa ikitembea. Mwenyeji wangu akaniambia usihofu kwani huyo ni Mungu (tembo) ambaye huabidiwa na dhehebu fulani. Akanijulisha kuwa nchini kwao kuna miungu ipatayo laki tano na nusu.Katibu wa uenezi ndugu Polepole kupitia kipindi cha kutekeleza ilani ya CCM kinachorushwa na TBC amesema CCM ni chama cha Mungu wa mbinguni. Polepole ameyasema hayo huko Malinyi mkoani Morogoro.
Source TBC
Johnthebaptist nikiwa hapa nchini Israel kiibada nawashauri wanasiasa wachunge sana ndimi zao kwani Mungu wa Mbinguni hadhiakiwi!
Kwa kussahihisha huko ujumbe umekuingiaMkuu haziakiwi maana yake nini? Unaitia najisi nchi takatifu huko
Kama Mungu muumba wa mbingu na nchi aishivyo Polepole na chama chake watapata pigo kubwa saaaaana kabla ya 2020 kwani Mungu hadhihakiwi na kamwe hachangii Utukufu wake na wanadamu.Ilaaniwe CCM milele na milele na wote wenye akili timamu tuseme Aaaaamen!!!!Nalia na huu utani wa Mungu, Yahwe wa kweli au naota wanamaana ya miungu ya polepole?
Mimi sio ccm so mambo yao hayanihusu.CCM ina mambo mengi yaliyojificha, labda wewe hili la Mungu kuwa mwanachama wa CCM hulijui lakini kiongozi wako Polepole anajua mpaka namba ya Kadi ya Uanachama wa Mungu ndani ya CCM.
kutoka siasa za kilafi hadi upasta fekiKatibu wa uenezi ndugu Polepole kupitia kipindi cha kutekeleza ilani ya CCM kinachorushwa na TBC amesema CCM ni chama cha Mungu wa mbinguni. Polepole ameyasema hayo huko Malinyi mkoani Morogoro.
Source TBC
Johnthebaptist nikiwa hapa nchini Israel kiibada nawashauri wanasiasa wachunge sana ndimi zao kwani Mungu wa Mbinguni hadhiakiwi!
Hujitambui!kutoka siasa za kilafi hadi upasta feki
Siyo Mungu bali Tiss na LubuvaNinachojua serikali ya Magufuli imewekwa na Mungu.
Mungu hana chama.
Kijana mbona unajitoa akili?Jaji Lubuva Amtangaza Mshindi Wa Urais .
Je Lubuva ni mungu?
Mungu nyoosha.mkono wako kwa wote wanaokydhihaki Maaskofu wasingetoa WarakaKatibu wa uenezi ndugu Polepole kupitia kipindi cha kutekeleza ilani ya CCM kinachorushwa na TBC amesema CCM ni chama cha Mungu wa mbinguni. Polepole ameyasema hayo huko Malinyi mkoani Morogoro.
Source TBC
Johnthebaptist nikiwa hapa nchini Israel kiibada nawashauri wanasiasa wachunge sana ndimi zao kwani Mungu wa Mbinguni hadhiakiwi!
Hatuwezi kuunga mkono upumbavu eti kwa sababu mpumbavu Fulani anakubaliana na maneno ya kipumbavu ya mpumbavu mwenzake. Kama humwamini Mungu sisi haituhusu, mwacheni Mungu wetu msimhusishe na mambo ya kipumbavu.kama kuna watu hawataki kuamini kabisa kwamba israel ni taifa teule la Mungu na ni kama mtoto wake kabisa ndio wataamini CCM imetoka kwa Mungu ?
katika kila kauli kauli inayotolewa kuna sababu ya kutolewa kwa hiyo msichukue uamuzi wa kuona maneno ya polepole ni kashfa
Hakika!Hatuwezi kuunga mkono upumbavu eti kwa sababu mpumbavu Fulani anakubaliana na maneno ya kipumbavu ya mpumbavu mwenzake. Kama humwamini Mungu sisi haituhusu, mwacheni Mungu wetu msimhusishe na mambo ya kipumbavu.
Yule jamaa ni MAN CHILD!Huyu mzee naye kapwaya sana!
Dah!! It's so interesting😂😂😂Sio akili zake zile tunazozifahamView attachment 974345
Hahahaaa wote wewe na katibu wako mna maanisha kitu kilekile.. Daaah acheni kufuruNinachojua serikali ya Magufuli imewekwa na Mungu.
Mungu hana chama.
Huyu dogo analinda tumbo lakeKatibu wa uenezi ndugu Polepole kupitia kipindi cha kutekeleza ilani ya CCM kinachorushwa na TBC amesema CCM ni chama cha Mungu wa mbinguni. Polepole ameyasema hayo huko Malinyi mkoani Morogoro.
Source TBC
Johnthebaptist nikiwa hapa nchini Israel kiibada nawashauri wanasiasa wachunge sana ndimi zao kwani Mungu wa Mbinguni hadhiakiwi!
Ninaongea kitu ambacho nina uhakika nacho 100%Hahahaaa wote wewe na katibu wako mna maanisha kitu kilekile.. Daaah acheni kufuru