Polepole: CCM ni Chama Cha Mungu wa Mbinguni

Polepole: CCM ni Chama Cha Mungu wa Mbinguni

Chama Cha Mungu wa mbiguni kinashidwa kuongeza mishahara kwa watumishi wake, hiki chama sio cha Mungu wa mbiguni ni chama cha shetani wa mbiguni. Sifa ya Mungu wa kweli ni upendo, uvumilivu, Hana ubaguzi pia hanunui wabunge.
 
Katibu wa uenezi ndugu Polepole kupitia kipindi cha kutekeleza ilani ya CCM kinachorushwa na TBC amesema CCM ni chama cha Mungu wa mbinguni. Polepole ameyasema hayo huko Malinyi mkoani Morogoro.
Source TBC

Johnthebaptist nikiwa hapa nchini Israel kiibada nawashauri wanasiasa wachunge sana ndimi zao kwani Mungu wa Mbinguni hadhiakiwi!
Ufahamu umepotea mkichwa
 
Mungu huwa hataki katiba huru,tuangalie tunayoongea tusimzihaki mwenyezi Mungu
 
Back
Top Bottom