Polepole: CCM ni Chama Cha Mungu wa Mbinguni

Polepole: CCM ni Chama Cha Mungu wa Mbinguni

Katibu wa uenezi ndugu Polepole kupitia kipindi cha kutekeleza ilani ya CCM kinachorushwa na TBC amesema CCM ni chama cha Mungu wa mbinguni. Polepole ameyasema hayo huko Malinyi mkoani Morogoro.
Source TBC

Johnthebaptist nikiwa hapa nchini Israel kiibada nawashauri wanasiasa wachunge sana ndimi zao kwani Mungu wa Mbinguni haziakiwi!
Ipo siku atatoa hesabu ya dhihaka na utapel wanaowafanyia wa Tz. Kama tungekuwa na tume huru ya uchaguzi... Yaan 45min tu walishakula 3-0
 
Katibu wa uenezi ndugu Polepole kupitia kipindi cha kutekeleza ilani ya CCM kinachorushwa na TBC amesema CCM ni chama cha Mungu wa mbinguni. Polepole ameyasema hayo huko Malinyi mkoani Morogoro.
Source TBC

Johnthebaptist nikiwa hapa nchini Israel kiibada nawashauri wanasiasa wachunge sana ndimi zao kwani Mungu wa Mbinguni haziakiwi!
Sasa naona ni mene mene tekeli na peresi.
 
Kufuru ya huyu chakubanga kwa Mola wetu haina tofauti na ile ya Herode ambapo Mungu alimshushia safura wakamtafuna hadharani! ndicho anachostahili chakubanga!
 
Katibu wa uenezi ndugu Polepole kupitia kipindi cha kutekeleza ilani ya CCM kinachorushwa na TBC amesema CCM ni chama cha Mungu wa mbinguni. Polepole ameyasema hayo huko Malinyi mkoani Morogoro.
Source TBC

Johnthebaptist nikiwa hapa nchini Israel kiibada nawashauri wanasiasa wachunge sana ndimi zao kwani Mungu wa Mbinguni haziakiwi!
Mkuu haziakiwi maana yake nini? Unaitia najisi nchi takatifu huko
 
Mbingu ipi?
Chama kilichoshindwa kuwatoa wananchi kwenye umaskini mzito.
Ukifika Dodoma vijijini, Kigoma vijijuni, Lindi vijijini, Mtwara vijijini, Shinyanga, Tabora n.k wananchi wana hali ngumu sana.
CCM wameshindwa kuitumia bahari iliyoanzia kaskazini mpaka kusini mwa Tanzania kuwatoa watu kwenye umaskini.
CCM wameshindwa kuzitumia hifadhi za Taifa kuwatoa watu kwenye umaskini.
CCM wameshindwa kuitumia ardhi kubwa ya Tanzania kuwatoa watu kwenye umaskini mzito. Tanzania kila zao linakubali. Kama likigoma Moshi , Lindi litakubali, Kama likigoma Singida, Njombe litakubali etc .
CCM wameshindwa kuitumia migodi ya madini kuwatoa watu watu kwenye umaskini mzito.
Eti CCM chama cha miungu ya mbinguni
CCM expire date 27/10/1985
 
Huna lolote ! mnafiki mkubwa wee ! tangu lini wewe ukajitenga na uharamia wa ccm ? mwenyekiti wako alipotangaza kwamba njooni kwangu mliolemewa na mizigo ya dhambi nami nitawapumzisha mbona hukushangaa ?
Hujui usemalo endelea kuuza tu mananasi hapo uyole!
 
Watumishi fanyeni hujuma indirect dhidi ya serikali hii onevu kwenu ni miaka 3 hakuna ongezeko la mishahara na maslahi yenu yanazidi kandamizwa.
 
Unajua ndugu na kumbuka maandiko Fulani wananchi walimsifia mfalme wao hadi wakafika mahali wakasema sauti ya mfalme ni kama sauti ya Mungu kilichomtokea huyo mfalme mmmh hata haya ya vyama tumefika mahali tunasema vya Mungu yatatutokea bora angesema chama cha kipo kwa mpango Wa Mungu badala ya kusema ni chama cha Mungu alafu madaraka yakulevya ni kitu kibaya sana
Mkuu Alikuwa mfalme herode.
 
Katibu wa uenezi ndugu Polepole kupitia kipindi cha kutekeleza ilani ya CCM kinachorushwa na TBC amesema CCM ni chama cha Mungu wa mbinguni. Polepole ameyasema hayo huko Malinyi mkoani Morogoro.
Source TBC

Johnthebaptist nikiwa hapa nchini Israel kiibada nawashauri wanasiasa wachunge sana ndimi zao kwani Mungu wa Mbinguni hadhiakiwi!
Aibu kwa tbc na maccm wote....
 
Back
Top Bottom