Polepole: CCM katiba sio muhimu, tunataka kwanza wananchi wawe na chakula mezani washibe ndio muhimu

Acha ujinga wewe! Unadhani kwanini huyo mwizi, fisadi, muongo na dikteta uchwara anaihofia JamiiForums!? Hadi apeleke muswaada uchwara bungeni?
Nani kakwambia anaiogopa JF, kwa lipi haswa JF inaweza mtisha. Acheni ujinga nyie, hichi kiplatform hakina effect kubwa kihivyo.
 
Nimemsikiliza huyo jamaa. Ni mnafiki sana. Kaitetea katiba iliyopo kwa kusema Muasisi wa Taifa la Tanzania (Nyerere) aliitumia pia.
Muhandishi Barwan Muhuza kamuuliza swali kwa kumnukuu huyo Muasisi kashindwa kulijibu zaidi ya kuleta porojo. Kamkumbusha pia Mwalimu Nyerere aliona mapungufu ya katiba tuliyonayo na alipata kusema kwa katiba tuliyonayo, ikija kutokea rais ambaye ni dictator itakuwa balaa.
Mpaka tunaenda mitamboni hajajibu hoja ya Muhandishi zaidi ya kusifia visivyosifika wa kustahili kusifika.

Muhandishi = Mwandishi
 
Laiti CCM wangejua ni kwa jinsi gani hiki kibabu kinavyosababisha kupunguza kura zao,wangekuwa wameshamtimua.

Mkuu huyu Polepole anaongea ambayo boss wanataka kuyasikia kwa hiyo usitegemee ataongea kinyume na hayo. Kama unakumbuka vizuri mkulu mwenyewe amesema katiba kwake sio kipaumbele ila ananyosha kwanza nchi.
 
Source Azam habari

Huyu bwana yuko mezani na anakula akiwa kinara wa kudai na kuwa kwenye tume keshasahau na anakomaa kabisa bila haya wala aibu:

Huyu mwenezi kasema katiba sio ya muhimu wala msingi kwa sasa zaidi wananchi wale washibe ndo kitu cha msingi
Na huu msimamo wangu nikihamia CCM naweza kuwa kama Polepole kweli!!!!!

Watanzania tuna kazi kubwa sana katika ukombozi wa Taifa.

Inasikitisha sana kuona watu wenye Akili zao akitaka kuingia ndani kwenye nyumba yake anapaki Akili nje kama gari halafu anaingia mtupu kama debe tupu.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Nani kakwambia anaiogopa JF, kwa lipi haswa JF inaweza mtisha. Acheni ujinga nyie, hichi kiplatform hakina effect kubwa kihivyo.
Kwa mara ya kwanza ulijiunga JF mwaka gani?
 
Kwa akili yako fupi sasa kwanini wafungue kesi dhidi ya Jamii Forums? Kwanini aseme anataka mashetani wenzie washuke kufunga mitandao yote nchini? Kwanini watunge sheria wanachama humu lazima watumie majina yao ya kweli?

Nani kakwambia anaiogopa JF, kwa lipi haswa JF inaweza mtisha. Acheni ujinga nyie, hichi kiplatform hakina effect kubwa kihivyo.
 
Source Azam habari

Huyu bwana yuko mezani na anakula akiwa kinara wa kudai na kuwa kwenye tume keshasahau na anakomaa kabisa bila haya wala aibu:

Huyu mwenezi kasema katiba sio ya muhimu wala msingi kwa sasa zaidi wananchi wale washibe ndo kitu cha msingi
Ndo maana sura yake haiendani na Umri wake.

Uhakiki wa Umri kama angekuwepo kazini wahakiki wangepata tabu sana.

Ashukuru Mungu.
 
Nimemsikiliza huyo jamaa. Ni mnafiki sana. Kaitetea katiba iliyopo kwa kusema Muasisi wa Taifa la Tanzania (Nyerere) aliitumia pia.
Muhandishi Barwan Muhuza kamuuliza swali kwa kumnukuu huyo Muasisi kashindwa kulijibu zaidi ya kuleta porojo. Kamkumbusha pia Mwalimu Nyerere aliona mapungufu ya katiba tuliyonayo na alipata kusema kwa katiba tuliyonayo, ikija kutokea rais ambaye ni dictator itakuwa balaa.
Mpaka tunaenda mitamboni hajajibu hoja ya Muhandishi zaidi ya kusifia visivyosifika wa kustahili kusifika.
"Enyi wana wa Tanzania mwasifia visivyosifika wala kustahili kusifika, nani anawatoa ufahamu?" - injili ya antipas kwa watanzania
 
Kwenye hii nchi kuna watu wanahitaji adhabu ya kifungo kitakachoendana na kazi ngumu kila siku na viboko angalau 20 asubuhi na jioni na mmoja wao ni polepole na kundi lake la wahuni waliotupa hasara za mabillioni ya katiba mpya na kuitupa
 
Wewe unavoona mambo yanayoendelea Kenya unadhani imewasaidia
Kama wangekuwa na Katiba kama yetu yale unayoyaona yasingeweza kutokea! Leo Odinga angezuiwa kuhutubia, wafuasi wake wasingeruhusiwa kuandamana, na yeye mwenyewe lazima saa hizi angekuwa yuko Jela kwa kupingana na "Rais".

Mahakama ina uhuru ambao inawezekana si rahisi sana kuutumia kutokana na shinikizo za kisiasa, lakini kuna nafuu sana tofauti na Kwetu! Jaji Juma anadai mahakama ya kwetu ni huru kimuundo lakini hajasema kama ni huru kiutendaji.
 
Jamani nilivyomuelewa Mh.Polepole serikali inaangalia mambo muhimu kwanza hilo la katiba baadaye.Hiyo posho ya kujaza matumbo ya akina Mbowe,Bulaya,Matiko,mnyika,Lema,Mdee,prof. Balimi nk si afadhali watuletee maji..
 
Walitumia hela nyingi sana bila sababu akiwa mmojawapo leo anakuja na agenda nyingine alipaswa kuwa na aibu khaa ni kujidhalilisha
 
Kwa akili yako fupi sasa kwanini wafungue kesi dhidi ya Jamii Forums? Kwanini aseme anataka mashetani wenzie washuke kufunga mitandao yote nchini? Kwanini watunge sheria wanachama humu lazima watumie majina yao ya kweli?

ZWAZWA siku zote atakuwa ZWAZWA.
Wameifungulia case sababu wanataka mnaoleta habari za uongo muweze kushughulikiwa fasta fasta msije eneza uongo.

Kwani ni uongo humu hakuna habari za uongo zinazosambazwaga? Kama hujui basi wewe ndio zwazwa.
Kila kitu kina limitation, uhuru wa kuongea hauwezi achiwa tu kila kichaa abonge atakavyo. Lazima kuwe na limitation.

Wewe chadema kindakindaki utapinga tu. Just wasting my time
 
Jamani nilivyomuelewa Mh.Polepole serikali inaangalia mambo muhimu kwanza hilo la katiba baadaye.Hiyo posho ya kujaza matumbo ya akina Mbowe,Bulaya,Matiko,mnyika,Lema,Mdee,prof. Balimi nk si afadhali watuletee maji..
Mle ndani walikuwa wamejaa wana CCM kwa nini umeandika majina ya CHADEMA tu? Halafu nani kakwambia sisi wengine tunaunga mkono mfumo wa Bunge la Katiba ulivyokuwa?

Katika kosa tulilofanya watanzania ni kuwaachia CCM kutumia wingi wao bungeni kutunga sheria iliyowafanya wabunge wote na wajumbe wote wa baraza la wawakilishi kuwa wajumbe wa bunge lile la Katiba.

Kosa jingine ni sheria iliyotungwa kumpa nguvu Rais kuteuwa wajumbe awatakao toka kokote kule na kuwafanya ni wajumbe wa Bunge lile. Matumbo ya kujaza ni ya wana CCM kwani ni wao ndiyo wana shirika na kila mtu ama Kampuni yoyote ile inayotuibia watanzania!
 
Kama wangekuwa na Katiba kama yetu yale unayoyaona yasingeweza kutokea! Leo Odinga angezuiwa kuhutubia, wafuasi wake wasingeruhusiwa kuandamana, na yeye mwenyewe lazima saa hizi angekuwa yuko Jela kwa kupingana na "Rais".

Mahakama ina uhuru ambao inawezekana si rahisi sana kuutumia kutokana na shinikizo za kisiasa, lakini kuna nafuu sana tofauti na Kwetu! Jaji Juma anadai mahakama ya kwetu ni huru kimuundo lakini hajasema kama ni huru kiutendaji.
Jibu swali bwashee, porojo mob za nini kuzunguka mbuyu.
Imewasaidia? Unafaham hali yao sasa hivi
 
Back
Top Bottom