Polepole aubomoa upinzani Kilimanjaro

Wakati wenzao wanazindua gari lao wao wanapambana kubomoa upinzani nguvu kubwa huko akili kidogo Tanzania ya viwanda ni wimbo tu wa majukwaani hautekelezeki hii ndio raana tuliyo achiwa na nani sijui
 
Wakati wenzao wanazindua gari lao wao wanapambana kubomoa upinzani nguvu kubwa huko akili kidogo Tanzania ya viwanda ni wimbo tu wa majukwaani hautekelezeki hii ndio raana tuliyo achiwa na nani sijui
Masahisho raana Ni laana.
 
Kudadadeki, safi sana hadi wabakiwe na zero
 
Wakati wakenya wakiuboresha mpaka kufikia hatua ya kuacha waapishane nyie mnaubomoa.....
 
Chama ni wanachama. Na wanachama hufuata viongozi( ref: Lowasa movement Ulipo tupo).So ukipata viongozi wazuri tayari una mtaji wa watu.

Sawa
Na Je waliopo sasa itakuwaje watawafukuza kuwaweka hao au watabanana?
Na hao wapya watakaa tu na kumisi kuwa viongozi na income ya uongozi walikuwa nao.. au ilikuwa bure Cdm?

Na pia sio kila mwanachama upigia kula chama chake. Na inavidi wawe makini kuwaongezea waliopo maujuzi labda washindwe kuliko natumaini hawatawaachisha kazi wengine as wao watakuwa wale wapinzani wa ndani kwa ndani kichini chini.

Ya Lowassa wengi wafata mikumbo kusema mko aĺipo.. matendotofauti kabisa.. wanawapa kura chama tawala.

Ukweli upo kuwa JPM ni ameleta mabadiliko kwa wengi kifikra na tunamshangilia.. ila mengi yanafanywa mengine yana mmmmmmh.. haya tusubiri uchaguzi Kinondoni itarudi kwa JPM na Siha pia.
 
Nyie acheni ujinga, hivi serikali ina pesa sh. Ngapi nyingi ya kununua watu wote mnaowaona wanahama. Niwambie kitu, nyie uguzaneni tu mpaka mnarudi mlikokwenda utakuta mbowe tu ndo bado mwana cdm
 
Hiyo biashara ya utumwa ilishachuja kitambo mbona!
 
Kwani tuko Ulaya au Marekani?
Hapa ndipo u-shimo la nnya wenu unapojidhihirisha. Mnataka kuwa na maendeleo kama Ulaya na America lakini hamtaki kufanya kama walivyofanya au wafanyavyo Ulaya na America. Hiyo haiwezekani. Endeleeni na breaking News hizi muone Tanzania ya viwanda itasimama.
 


Kama ni kweli basi CCM iache kubagua huu mkoa maana iko wazi kuwa Kilimanjaro imekuwa ikibaguliwa systematically mithili ya ubaguzi dhidhi ya Wayahudi katika 4th Reich ya Hitler au Watutsi katika Rwanda ya kabla ya Kagame.

Halimradi sasa mnadai Polepole "ameukomboa" huu mkoa, muukumbatie basi. Hicho ndiyo kipimo pekee cha kuonesha kuwa kweli mmeteketeza upinzani Kilimanjaro, nje ya hapo itadhirihisha kuwa hizi ni propaganda tu na mradi wa Pwagu na Paguzi.
 
Kwa hiyo unamlaunu nani..laumu hao wanaohama..!! Lakini hiyo ndio demokrasia wewe unataka uwalazimishe kukaa na mafisadi mpaka lini ???? Usidhani hao hawana akili. Ni watu wazima na familia zao...kalagabaho..!!! Kaa na ujinga wako
!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Pole pole ameabomoa uPInzan eti.. Mnaota nyie

Musiba ni Msiba!
 

Wamekuibia Account yako?
 
Hiyo ndio tafsiri yako kwa uwapendao,chongo kwa mnyamwezi, kwa mzaramo amri ya mungu

Kuna methali inasema "Udhaniaye umesimama angalia usianguke" na "Binadamu hujafa hujaumbika" kwa methli hizi zikuonyeshe tu kuna dunia baada ya hii.

Anyway wanasema ADUI muombee aishi maisha marefu ili apate kuuona utukufu wa Mungu
 
Kenya waunda gari lao wenyewe
 
Dua la kuku, maneno ya kwenye khanga hayo, mkuki kwa nguruwe, kwa binadamu mchungu eeh!, lugha hizi mkitamkia wengine mnaona faraja Sana, et so special!

Uzima ulio nao sio kwa kuwa wewe umekuwa mwema kuliko wengine mzeee. wenye matatizo ni watu kama wewe, huna kitu cha ziada kuwazidi wao. Dau la kuku ili iweje sasa?! Nmekukumbusha tu kuwa huna guarantee ya sekunde moja iliyo mbele yako. Mshukuru Mungu unaweza kubovya hiyo keyboard.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…