Polepole aubomoa upinzani Kilimanjaro

Shubamiiit wahed huyo chakubanga hata watoto wadogo wanamdharau,yeye amekalia kusema ccm itajenga barabara ya lami,wakti ndio wajibu wao kujenga hizo barabara ukiwa na akili ya chakubanga lazma utakua mchicha mwiba sugu
 
Barbarosa: Kwani wewe kwa njaa hii ya kushinda hapo Lumumba akitokea mtu akasema anakupa milioni 70 uhamie TLP utakataa?
 
Hivyo ndio viwanda tulivyoahidiwa? Au agenda imebadilika.
 
unataka story ipi ?,ya yule mlemavu alieko Brussels?

Huna uwezo wa kujiwekea hata unywele dogo!! uzima ulionao usikupe kiburi mamangu! Kuwa kilema ni sekunde. Barabara unayopita ndo wenzio walipotezea maisha. Gari unayotembelea ndo wenzako walibadilishia majina na kuitwa marehemu! Usijifanye kuwa upo mbinguni unatuchungulia kwa nchini. Kiburi ya uzima hiyo mzee
 
Dua la kuku, maneno ya kwenye khanga hayo, mkuki kwa nguruwe, kwa binadamu mchungu eeh!, lugha hizi mkitamkia wengine mnaona faraja Sana, et so special!
 
HUWEZI KUSIKIA AMERIKA AU ULAYA CHAMA FULANI KIMEBOMOA CHAMA KINGINE..
Kweli ndugu! Nchi za kiafrika hasa Tanzania haya maujinga ndo yamejaa! Ndio mana lichama limetawala miaka 60 na bado nchi iko hoi!
 
Mrudisheni Nyalandu tu! Mbona atabaki mmoja...
 
Wnyw wenye chadema yetu tunasema polepole bado anapwaya ktk nafas japo anatupga za macho
 
Acheni upumbavu nyie.. Kilimanjaro sio Dodoma hiyo! Halafu hii Habari ya sijui kubomolewa upinzani sio Habari tena... Upinzani sio hao wajinga wajinga wanaonunuliwa.. Upinzani ni Imani
 
chadema ilishabaki jf tu mtaani hakuna kitu kinachoitwa chadomo ... acha waendelee kutiana moyo humu watakapoamka kutakuwa kumekucha
 
Chama ni wanachama. Na wanachama hufuata viongozi( ref: Lowasa movement Ulipo tupo).So ukipata viongozi wazuri tayari una mtaji wa watu.
 
HUWEZI KUSIKIA AMERIKA AU ULAYA CHAMA FULANI KIMEBOMOA CHAMA KINGINE..
Kwa hiyo unamlaunu nani..laumu hao wanaohama..!! Lakini hiyo ndio demokrasia wewe unataka uwalazimishe kukaa na mafisadi mpaka lini ???? Usidhani hao hawana akili. Ni watu wazima na familia zao...kalagabaho..!!! Kaa na ujinga wako
 
Chama ni wanachama. Na wanachama hufuata viongozi( ref: Lowasa movement Ulipo tupo).So ukipata viongozi wazuri tayari una mtaji wa watu.
Hawaelewi wengine..wanataka sijui walazimishwe kukaa na watuhumiwa wa ufisadi na mafisadi..waambie wamsikilize Dr Slaa...ambaye alikuwa chadem asilia...sio hili chadem mfu lililopo sasa
 
Hivi Ni kweli hawa wote wananunuliwa!!!??? Mmh napata mashaka embu wahusika watafakar upya kunani huko mbona outflow ya viongozi Ni kubwa mno,there is something behind, believe me
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…