Polepole aubomoa upinzani Kilimanjaro

akili zako znakutosha kuvuka lami tu
yaan mwenykt wa jimbo kuhama ndio iyumbishe cdm?,slaa alihama sembuse hao kunguni?
kweli chizi sio lazma aokot makopo

Uongozi wa Mbowe unaoutetea hautoi demokrasia kwa viongozi wenzao, itakuwa kwa viongizi wa serikali! Badala yake uongozi wa Mbowe unashutumu na kutykana viongozi wenzake wanaohama. Msikilize:
Sikiliza jibu lake Polepole.
Kati Mh Mbowe na Polepole nani mkomavu kisiasa? Kama ulivyosema kweli chizi sio lazima aokote makopo. TAFAKARI CHUKUA HATUA
 
America na ulaya mbona mbali sana hata zenj hapo huwezi kusikia ndugu
 
Hii ni habari kwa waTanzania[emoji15] [emoji15] [emoji22] [emoji22]
 
Ndio viwanda hivyo!
 
Akili za kushikiwa, kila kitu shithole,utafikiri wewe unaishi sayari nyingine.
Jahazi linazama hilo kwa upumbavu wenu wa kutotaka kushaurika, much know, more understanding for nothing
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji22]
 
Aibu kubwa sana naona hii ni aina fulani ya ushamba wa nyakati hizi lkn tuamini muda utasema.tukibakia kua maskini wa kutupwa bila maendeleo thabiti ambayo unaweza ukashindanisha na kwingineko
 
Hii siyo story tena. Halafu natamani mngewajua watu wa Kilimanjaro wakoje hamnge weka huu ujinga hapa
 
Umechikua Katibu WA Chama Kata, Kesho anachaguliwa mwingine, Sijui unapambana na nini hapo,

Hebu jiulizeni, Bavicha in mwenyekiti au Haina, Katambi kaondoka, nini kimebadirisha mwenendo wa Chama,?

Mnatupa pesa za Bure tu,

Hii chama haifi, Chukua Katibu, kesho Katibu mwingine anachaguliwa Sasa Sijui mnafanya kazi gani
 

Awe makini tu asikute anapigwa changa la macho watu wa huko wanachukuaga hela tu yamoyoni wanayajua wao awe makini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…