Mkuu wakati wenyewe wanajifanya kumiliki jukwaa kwa matusi na kejeri, sisi tunaokota embe dodo kiulaini.
Kule hawana njaa km zetu. Huku umasikini unaponza sana.HUWEZI KUSIKIA AMERIKA AU ULAYA CHAMA FULANI KIMEBOMOA CHAMA KINGINE..
Umeona eennhh !.Kama ukiweza kushawishiwa na huyu msemaji wa ccm basi we huna akili kabisa
Polepole aweza kuwa kiongozi mbovu kabisa wa ccm tangu izaliweWacha watu wale pesa ya Chakubangaakirudi Lumumba amepauka.
Viwanda vinaanzishwa na kufunguliwa baada ya kukamilika, ukitaka kufahamu hili nenda tovuti ya wizara ya viwanda na biashara for more details, (strategic plan)Kila mkoa unatakiwa viwanda 100, ikiwemo kufufua vilivyokufa. Ingependekeza baada ya kupokea wanaohama angeenda kuzindua viwanda na kuahidi watu waamkie keshi yake kwenye ajira ya hivyo viwanda. Sasa hv kuhama hakuna mzuka tena.
Na huo ndiyo ukweli waambie. Mwenye viongozi waledi na watendaji wazuri hawezi kila siku mguu kwa mguu kutafuta viongozi wa vyama vingine. Hata sasa wa kugombea uongozi ni lazma watafutwe kwenye vyama vingine. Wote walionao ni makapi.sijui umri wako...
kama umeiga ufipa maana unawapenda.
kama unachukua wanachama wa chama kingine, maana yake wana maana kuliko wa kwako!!!
True shithole, washasahau ka pangaboi ketu Canada.CCM ndyo inafanya Africa tuitwe Shithole.
HUWEZI KUSIKIA ULAYA VIONGOZI WAKITUMIA UHALIFU KETE YA KISIASAHUWEZI KUSIKIA AMERIKA AU ULAYA CHAMA FULANI KIMEBOMOA CHAMA KINGINE..
akili zako znakutosha kuvuka lami tuWenyewe wako Kenya sasa wanamshangilia Uhuru Kenya wakati lichama lao likiporomoka!
Hehehe mnatafuta shimo la kujificha mambo ya viwanda ni ya Serikali Pole2 kazi yake ni kuiua chadomo kila pahala hiyo ndio kazi inayompa kula ulitaka ajenge viwanda amekua Waziri?Kila mkoa unatakiwa viwanda 100, ikiwemo kufufua vilivyokufa. Ingependekeza baada ya kupokea wanaohama angeenda kuzindua viwanda na kuahidi watu waamkie keshi yake kwenye ajira ya hivyo viwanda. Sasa hv kuhama hakuna mzuka tena.
Kule hakuna kubadilisha gia angani, ndo maana unaona hiloHUWEZI KUSIKIA AMERIKA AU ULAYA CHAMA FULANI KIMEBOMOA CHAMA KINGINE..
viwanda gani? labda vya maigizoViwanda vinaanzishwa na kufunguliwa baada ya kukamilika, ukitaka kufahamu hili nenda tovuti ya wizara ya viwanda na biashara for more details, (strategic plan)
Dua la kuku, pengine unayemuhurumia amelipwa hapahapa duniani, Usilolijua night........MUNGU AKULIPE SAWASAWA NA KAULI ZAKO.
Tz hata ukioa unahesabika una kiwanda cha kuzalsha watu. Real shithole country.Viwanda vinaanzishwa na kufunguliwa baada ya kukamilika, ukitaka kufahamu hili nenda tovuti ya wizara ya viwanda na biashara for more details, (strategic plan)
Na kusema mbowe akiondoka ndio nitashtuka, hehehe wanatia huruma.Wamebakia kuimba shithole tu basi.
Akili za kushikiwa, kila kitu shithole,utafikiri wewe unaishi sayari nyingine.Tz hata ukioa unahesabika una kiwanda cha kuzalsha watu. Real shithole country.
[emoji75][emoji75][emoji75][emoji75]Kule hakuna kubadilisha gia angani, ndo maana unaona hilo
Viwanda vinaanzishwa na kufunguliwa baada ya kukamilika, ukitaka kufahamu hili nenda tovuti ya wizara ya viwanda na biashara for more details, (strategic plan)
Hehehe mnatafuta shimo la kujificha mambo ya viwanda ni ya Serikali Pole2 kazi yake ni kuiua chadomo kila pahala hiyo ndio kazi inayompa kula ulitaka ajenge viwanda amekua Waziri?