Ain't story any more...30 Januari 2018
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Ndg.Polepole akiwa kwenye Kikao cha Halmashauri Kuu Wilaya ya Moshi Vijijini, Viongozi wa vyama vya upinzani 17 Moshi Vijijini wameomba kujiunga na CCM.
Viongozi 9 wa Chadema wakiongozwa na
Ekarise Kiwia Mwenyekiti wa Chadema wilaya ya Moshi Vijijini na
Emmanuel Mlaki Katibu wa Chadema Wilaya la Moshi Vijijni na katibu wa Jimbo la Vunjo.
Viongozi watano (5) wa NCCR wakiongozwa na Stanley R. Temba Katibu wa NCCR Vunjo pamoja na Viongozi watatu (3) wa TLP wakiongozwa na Kawawa J. Rubega Katibu wa Jimbo la Vunjo
Kikao cha Halmashauri Kuu ya wilaya ya Moshi Vijijini kimewakubalia na kuwapokea ndani ya CCM.
Hii imepelekea Idadi ya Viongozi waliohamia CCM katika ziara ya Ndg. Polepole Mkoa wa Kilimanjaro kufikia 89.
30 Januari 2018

biashara anaiweza30 Januari 2018

Mkuu wakati wenyewe wanajifanya kumiliki jukwaa kwa matusi na kejeri, sisi tunaokota embe dodo kiulaini.30 Januari 2018

Chadema ni gofuHUWEZI KUSIKIA AMERIKA AU ULAYA CHAMA FULANI KIMEBOMOA CHAMA KINGINE..
Hakuna kadiwani hata kamoja?30 Januari 2018
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Ndg.Polepole akiwa kwenye Kikao cha Halmashauri Kuu Wilaya ya Moshi Vijijini, Viongozi wa vyama vya upinzani 17 Moshi Vijijini wameomba kujiunga na CCM.
Viongozi 9 wa Chadema wakiongozwa na
Ekarise Kiwia Mwenyekiti wa Chadema wilaya ya Moshi Vijijini na
Emmanuel Mlaki Katibu wa Chadema Wilaya la Moshi Vijijni na katibu wa Jimbo la Vunjo.
Viongozi watano (5) wa NCCR wakiongozwa na Stanley R. Temba Katibu wa NCCR Vunjo pamoja na Viongozi watatu (3) wa TLP wakiongozwa na Kawawa J. Rubega Katibu wa Jimbo la Vunjo
Kikao cha Halmashauri Kuu ya wilaya ya Moshi Vijijini kimewakubalia na kuwapokea ndani ya CCM.
Hii imepelekea Idadi ya Viongozi waliohamia CCM katika ziara ya Ndg. Polepole Mkoa wa Kilimanjaro kufikia 89.
Katumia bilioni ngapi?30 Januari 2018

Hiyo ndio tafsiri yako kwa uwapendao,chongo kwa mnyamwezi, kwa mzaramo amri ya mungukumwita mtu 'mlemavu' kwa sababu ya tofauti ya kisiasa ni kufilisika mawazo...
binadamu ni utu,, siasa ni kitu kingine
Kuna mkoa unaitwa Moshi mkuu hapa Tanzania?Next njoo na breaking news ya maendeleo kwenye mkoa wa Moshi baada ya pole pole kufika