wacha uongo.Tanzania nzima kuna ukabila wala huna sababu ya kukataa labda useme ni kwa namna gani tutaupunguza lakini mbona ukiwa kwenye mkoa wenye kabila zaidi ya moja ushindani baina ya kabila na kabila huwa wazi mfano uchaguzi wa Lem arusha kuna vinasaba vya uchaga na umasai viliinuka
Ukienda morogoro yapo tanga yapo mara yapo kagera yapo singida yapo na mbeya yapo pia
Tanzania nzima kuna ukabila wala huna sababu ya kukataa labda useme ni kwa namna gani tutaupunguza lakini mbona ukiwa kwenye mkoa wenye kabila zaidi ya moja ushindani baina ya kabila na kabila huwa wazi mfano uchaguzi wa Lem arusha kuna vinasaba vya uchaga na umasai viliinuka
Ukienda morogoro yapo tanga yapo mara yapo kagera yapo singida yapo na mbeya yapo pia
Mwakajinga, Mwakibibi Mwakipasile.Mwajosefu Mwasugu MwaMr2
Ooh mie nilifikiri ni Mhutu wa RwandaMzinza wa chato
CCM tunavyoijua ina watu wenye hekima, uadilifu na ambao ni foward thinkers.Ninachojua ni kwamba Pole Pole hana akili timamu........
Tanzania nzima kuna ukabila wala huna sababu ya kukataa labda useme ni kwa namna gani tutaupunguza lakini mbona ukiwa kwenye mkoa wenye kabila zaidi ya moja ushindani baina ya kabila na kabila huwa wazi mfano uchaguzi wa Lem arusha kuna vinasaba vya uchaga na umasai viliinuka
Ukienda morogoro yapo tanga yapo mara yapo kagera yapo singida yapo na mbeya yapo pia
Watu wenye kuona mbali wana hisi Polepole ana ajenda ya siri iliyompeleka huko Mbeya, na imekanushwa kwa namna ya wazi kabisa.Kwan Tanzania kuna wakati hoja ya ukabila inaibuliwa ili kumdidimiza mgombea anayeonekana anakubalika, na kumnyanyua asiyekubalika...!!
Sometimes usiwe unaonesha ujinga wako hadharani ndg. Kama kitu hukijui just shut the f^uck up!Sugu ni mnyakyusa kama Mwandosya ...hilo jina la Mbilinyi sio lake amejipachika tu
Ni kabila la "wagagagigikoko"MAGUFULI ni kabila gani
Sugu ni mnyakyusa kama Mwandosya ...hilo jina la Mbilinyi sio lake amejipachika tu
Mim mwenyew n mtu wa Mbeya nakir ni kweli Kuna ukabila hata hivo si wakutisha
Sugu ni mnyakyusa kama Mwandosya ...hilo jina la Mbilinyi sio lake amejipachika tu