Polepole, chanzo cha CCM kushindwa Mbeya ni CCM Taifa

masopakyindi

Platinum Member
Joined
Jul 5, 2011
Posts
18,621
Reaction score
14,577
Kwako Katibu Mwenezi CCM Taifa, ndg Polepole.
Nimesikitishwa kama si kukerwa na kauli yako ya majuzi, ati kushindwa kwa CCM Mbeya ni kutokana na ukabila.

Sisi wana CCM tutokao Mbeya tumekereka sana na kauli hiyo kwani inakosa kukubali madudu makubwa yaliofanywa na CCM Taifa kwa mkoa wa Mbeya miaka kadha iliyopita.

Polepole , jiulize sasa kama ni ukabila, Sugu ambaye wala si Mnyakyusa, Msafwa, Mpangwa au Mnyiha ,Mkinga, anapata nguvu toka kabila gani?

Kuto analyse na kukubali makosa ni kama mbuni anayeficha kichwa shimoni huku kiwiliwili chake kiko nje na kuendelea kudhuriwa.

Cha msingi CCM Taifa lazima iwe na political scientists wenye uwezo wa ku analyse mapungufu ya chama na kupendekeza marekebisho.
Sugu kawaunganisha VIJANA mkoa wa Mbeya, kawaunganisha kuprotest against in-action ya CCM kimaendeleo mkoani Mbeya.

CCM isijitie kutoliona hili, na hii ni pamoja na Sugu kutokuwa na uwezo wowote kuleta maendeleo mkoani Mbeya.

Tukirudi nyuma , ni CCM Taifa iliyopandikiza mbegu ya ufarakano kati ya makundi ya mtandao wa JK huko miaka ya nyuma.
Vinara wa CCM wanaojulikana, wakasema na kusikika , wako wapi?
CCM Taifa devided, but they failed to rule!
Mbona Polepole kijana wa juzi hutaki kuwasikiliza hao wazee waliopigwa mikwara?

Tunakumbuka ugomvi wa kinyang'anyiro cha kiti cha uNEC mkoa wa Mbeya?
Mpendwa wa wana Mbeya wote kupigwa vita ya waziwazi na CCM Taifa?

Mbaya zaidi kwa karibia miaka 20 mkoa wa Mbeya , CCM Taifa imewaletea miradi gani ya maendeleo?
Miaka 20 ni mingi, sasa kijana wa miaka 20~30 mkoani Mbeya anaielewaje CCM.
CCM kimekaa kama chama cha kuleta maendeleo na ajira au ni chama cha maneno matupu?

Vijana haohao wakienda Mwanza na kwingineko si wanaona jinsi CCM inavyowaletea wananchi maendeleo?
Na hata Rais wetu mpendwa Magufuli, alipokuwa waziri wa ujenzi, na sasa Rais, ni miradi ipi ya ujenzi kaleta Mbeya?
Barabara ya kuingia Mbeya mjini ni kero tupu!

Polepole tusitafute wa kulaumu, jilaumuni wenyewe.
Sehemu kama Iibighi(Rungwe), Tunduma(Songwe) ambazo predominantly ni kabila moja, mbona CCM inaendelea kuhenyeshwa?

Ni bora tujiulize tulipo kosea ili kama Mwalimu alivyosema,Tujisahihishe..
Miaka ya nyuma CCM Mbeya was a staunch CCM base.
Mtaji huo mmeupoteza wenyewe, CCM Taifa.
 
Kusema hakuna mradi wowote wa maendeleo umefanywa Mbeya ndani ya miaka 20 hadi 30 sio kweli kabisa.
Uwanja wa ndege wa Songwe ambao utakuwa wa kimataifa utaongeza mzunguko wa pesa pengine na watalii zaidi watakaatembelea maeneo hayo.
 
Uwanja wa ndege Songwe kimejengwa kwa shingo upande.
Sasa ni mwaka wa kumi au zaidi na hakijakamilika.
Chato itakamilika kabla ya Songwe.
 
Kwako Katibu Mwenezi CCM Taifa, ndg Polepole.
Nimesikitishwa kama si kukerwa na kauli yako ya majuzi, ati kushindwa kwa CCM Mbeya ni kutokana na ukabila.

Sisi wana CCM tutokao Mbeya tumekereka sana na kauli hiyo kwani inakosa kukubali madudu makubwa yaliofanywa na CCM Taifa kwa mkoa wa Mbeya miaka kadha iliyopita.

Polepole , jiulize sasa kama ni ukabila, Sugu ambaye wala si Mnyakyusa, Msafwa, Moangwa au Mkinga, anapata nguvu toka kabila gani?

Kuto analyse na kukubali makosa ni kama mbuni anayeficha kichwa shimoni huku kiwiliwili chake kiko nje na kuendelea kudhuriwa.

Cha msingi CCM Taifa iwe na political scientists, Sugu kawaunganisha VIJANA, kuprotest against in action ya CCM kimaendeleo mkoani Mbeya.
CCM isijitie kutoliona hili, na hii ni pamoja na Sugu kutokuwa na uwezo wowote kuleta maendeleo mkoani Mbeya.

Tukirudi nyuma , ni CCM Taifa iliyopandikiza mbegu ya ufarakano kati ya makundi ya mtandao wa JK huko miaka ya nyuma.
Vinara wa CCM wanaojulikana, wakasema na kusikika , wako wapi?
CCM Taifa devided, but they failed to rule!
Mbona Polepole kijana wa juzi hutaki kuwasikiliza hao wazee waliopigwa mikwara?

Tunakumbuka ugomvi wa kiti cha uNEC mkoa wa Mbeya?
Mpendwa wa wana Mbeya wote kupigwa vita ya waziwazi na CCM Taifa?

Mbaya zaidi kwa karibia miaka 20 mkoa wa Mbeya , CCM Taifa imewaletea miradi gani ya maendeleo?
Miaka 20 ni mingi, sasa kijana wa miaka 20~30 mkoani Mbeya anaielewaje CCM kama chama cha kuleta maendeleo na ajira au ni chama cha maneno matupu?

Vijana haohao wakienda Mwanza na kwingineko si wanaona jinsi CCM inavyowaletea wananchi maendeleo?
Na hata Rais wetu mpendwa Magufuli, alipokuwa waziri wa ujenzi, na sasa Rais, ni miradi ipi ya ujenzi kaleta Mbeya?
Barabara ya kuingia Mbeya mjini ni kero tupu!

Polepole tusitafute wa kulaumu, jilaumuni wenyewe.
Miaka ya nyuma CCM Mbeya was a staunch CCM base.
Mtaji huo mmeupoteza wenyewe.
Polepole akijibu hizo nondo, unitag!
 
Hivi polepole ndio katibu mkuu?
Polepole ni Katibu Mwenezi.
Kaenda Mbeya kaongopewa, sisi wana CCM tuaoelewa matatizo twajua kaingizwa mjini kwa majibu mepesi.
Polepole atuambie, ni mwana CCM yupi atasimama jukwaani kujipigia jaramba kuwa ametatua kero za wana Mbeya kimaendeleo.
 
Kwako Katibu Mwenezi CCM Taifa, ndg Polepole.
Nimesikitishwa kama si kukerwa na kauli yako ya majuzi, ati kushindwa kwa CCM Mbeya ni kutokana na ukabila.

Sisi wana CCM tutokao Mbeya tumekereka sana na kauli hiyo kwani inakosa kukubali madudu makubwa yaliofanywa na CCM Taifa kwa mkoa wa Mbeya miaka kadha iliyopita.

Polepole , jiulize sasa kama ni ukabila, Sugu ambaye wala si Mnyakyusa, Msafwa, Moangwa au Mkinga, anapata nguvu toka kabila gani?

Kuto analyse na kukubali makosa ni kama mbuni anayeficha kichwa shimoni huku kiwiliwili chake kiko nje na kuendelea kudhuriwa.

Cha msingi CCM Taifa iwe na political scientists, Sugu kawaunganisha VIJANA, kuprotest against in action ya CCM kimaendeleo mkoani Mbeya.
CCM isijitie kutoliona hili, na hii ni pamoja na Sugu kutokuwa na uwezo wowote kuleta maendeleo mkoani Mbeya.

Tukirudi nyuma , ni CCM Taifa iliyopandikiza mbegu ya ufarakano kati ya makundi ya mtandao wa JK huko miaka ya nyuma.
Vinara wa CCM wanaojulikana, wakasema na kusikika , wako wapi?
CCM Taifa devided, but they failed to rule!
Mbona Polepole kijana wa juzi hutaki kuwasikiliza hao wazee waliopigwa mikwara?

Tunakumbuka ugomvi wa kiti cha uNEC mkoa wa Mbeya?
Mpendwa wa wana Mbeya wote kupigwa vita ya waziwazi na CCM Taifa?

Mbaya zaidi kwa karibia miaka 20 mkoa wa Mbeya , CCM Taifa imewaletea miradi gani ya maendeleo?
Miaka 20 ni mingi, sasa kijana wa miaka 20~30 mkoani Mbeya anaielewaje CCM kama chama cha kuleta maendeleo na ajira au ni chama cha maneno matupu?

Vijana haohao wakienda Mwanza na kwingineko si wanaona jinsi CCM inavyowaletea wananchi maendeleo?
Na hata Rais wetu mpendwa Magufuli, alipokuwa waziri wa ujenzi, na sasa Rais, ni miradi ipi ya ujenzi kaleta Mbeya?
Barabara ya kuingia Mbeya mjini ni kero tupu!

Polepole tusitafute wa kulaumu, jilaumuni wenyewe.
Miaka ya nyuma CCM Mbeya was a staunch CCM base.
Mtaji huo mmeupoteza wenyewe.
Kwamba CCM Mbeya inshindwa kwa sababu ya ukabila, hilo linaudhi sana.
Nafikiri Polepole alitoa maoni yake ili afurahishe kadamnasi na watu anaowajua.

Kwamba Mbeya kuna ukabila ndani ya CCM tu ni maoni ambayo mtu mwenye akili hawezi kuyatoa.
CHADEMA kwa missing hiyo , yenyewe imefuta ukabila ndani ya chama chao mkoani Mbeya.
Polepole , think before you talk
 
Naona dada Tulia anapiga jaramba jimbo liko wazi,hadi raha
Kinachotakiwa Mbeya ni maendeleo, na si sura ya mtu.
Tulia akiweza kuishauri serikali ya CCM kujenga barabara zilizosahauliwa na kuahidiwa kila wakati wa uchaguzi, kuondoa kero za wananchi, sioni kwa nini asichaguliwe.
 
Dada dr Tulia kwa sasa yupo kazini mbeya ,majuzi kati hapa kagawa mifuko ya cement kwa SHULE zote jiji mbeya.
 
Back
Top Bottom