Acha ujinga sugu sio MnyakyusaSugu ni mnyakyusa kama Mwandosya ...hilo jina la Mbilinyi sio lake amejipachika tu
Ukiwa kada wa CCM, uongo ni kama ibada. Sugu ni mbena ambaye baba yake ameishi miaka yote kijiji cha Maweso, wilaya ya Madaba mkoa wa Ruvuma. Mama yake ndiye mwenyeji wa Mbeya. Sugu ana undugu na Prof. Mbilinyi. Kilangila.Sugu ni mnyakyusa kama Mwandosya ...hilo jina la Mbilinyi sio lake amejipachika tu
Daudi Albert BashiteKwa hiyo jina lake halisi ni nani?
Kiasilia Mbeya mjini ni kwa wasafwa lakini sasa hivi si kweli kwamba Mbeya mjini ni kwa wasafwa. Wasafwa sasa hivi wapo kwa wingi milimani na Mbeya vijijini, acheni kukaririshwa msivyovijua. Ni sawa na sasa hivi eti ukurupuke na kudai Dar es salaam ni kwa wazaramu au Mwanza mjini ni kwa wasukuma (tena afadhali ya mwanza angalau wasukuma wanaonekanapo).Mbeya mjini wengi ni wasafwa hasa pembezoni mwa jiji
Acha kupoteza muda kwa hao wanatembea na fisi kwenye mikutano.Usamehewe tu maana hujui ukisemacho.....
Halfu ujuwe Mbeya haina kabila moja tu... TATIZO MNADHANI MTU AKITOKA MBEYA BASI MNYAKYUSA, AKITOKA RUVUMA BASI MNGONI... Mnasahau kuna wamatengo, wamanda, wanyasa, wanindi, wangoni, wayao, wandendeule, wanyasa etc.... Na huko Mbeya kuna wasafya, wandali, wamalila, wanyiha, wanyakyusa etc Tusisahau Tanzania kuna makabila zaidi ya 120...
nmeishi mbeyaa miaka mingi sana japo sio mzawa ktk kitu nawakubali wana mbeya hawana ukabila tena totallyTanzania nzima kuna ukabila wala huna sababu ya kukataa labda useme ni kwa namna gani tutaupunguza lakini mbona ukiwa kwenye mkoa wenye kabila zaidi ya moja ushindani baina ya kabila na kabila huwa wazi mfano uchaguzi wa Lem arusha kuna vinasaba vya uchaga na umasai viliinuka
Ukienda morogoro yapo tanga yapo mara yapo kagera yapo singida yapo na mbeya yapo pia
Nasikitika kusema huyu jamaa ni brain zero.Huyo jamaa kapewa kazi kubwa kuliko uwezo wake. Itikadi inahitaji maneno mengi lakini kuwe na mikakati madhubuti na akili itumike sana.
Mzinza wa chatoMAGUFULI ni kabila gani
Kati ya vitu mtu yeyote toka Mbeya awe msafwa, mkinga, mnyakyusa au mkisi, waandali, wanyiha,wamalila na makabila mengine mengi, umfanyie dharau ya wazi, hapo umemtibua.Kiasilia Mbeya mjini ni kwa wasafwa lakini sasa hivi si kweli kwamba Mbeya mjini ni kwa wasafwa. Wasafwa sasa hivi wapo kwa wingi milimani na Mbeya vijijini, acheni kukaririshwa msivyovijua. Ni sawa na sasa hivi eti ukurupuke na kudai Dar es salaam ni kwa wazaramu au Mwanza mjini ni kwa wasukuma (tena afadhali ya mwanza angalau wasukuma wanaonekanapo).
Ila kuhusu Mbeya kwamba ni wakabila, hapo polepole amechemka, ni kwamba Mbeya wana misimamo ya pamoja, kama Mbeya wangekua ni wakabila basi kule Rungwe wasinge mfurumusha Tulia na ngoma zake (Mang'oma) au huyo Tulia asingepata taabu hapo Mbeya mjini kama azipatazo sasa. Maana na yeye ni Mnyakyusa mwenzao.
Huwezi ukaenda Mbeya Kilofalofa na kuanza kujifanyia mambo holela. Siasa za mkoa wa Mbeya zina utamaduni na ustaarabu wake. Huwezi ukaenda Mbeya ukawapiga mabomu na risasi wanachadema halafu wana CCM wa Mbeya wakakuchekea au ukawapiga wana CCM halafu wapinzani wa mkoani Mbeya wakakuchekea. Mbeya wanajitambua na wanatambua kuwa kuna maisha mengine nje ya siasa. Hivyo hawapo tayari kuona wenzao wananyanyaswa sababu ya itikadi za vyama.
Mimi ni mwanachama wa CCM lakini nilisaidia sana mikakati ya jinsi ya kuenezwa kwa CHADEMA wilayani Rungwe, maana ilikuwepo kuwepo tu bila ya mikakati ya kujieneza, na hata pesa nikiwasaidia kwa kadili ya uwezo wangu. Hiyo ndiyo Mbeya yetu. Hizo siasa zenu za kishamba mnaweza mkaziendeleza huko kwenye mikoa mingine lakini siyo huku kwetu.
Na sasa hivi katika majimbo yote ya mkoa wa Mbeya hatuhitaji mwanasiasa wa kuja kutuambia atatufanyia hiki au kile bali tutao fursa ya wagombea uongozi wajieleze watafanya vipi yale mahitaji au matatizo yetu. Sasa hivi kuelekea 2020 tutaunda kamati maaluma ya wazee, vijana (wataalam) wa mkoa Mbeya ambao wao wataangalia mahitaji ya kila jimbo na kuwakabidhi wana kamati wa jimbo husika ambao wao watayatangaza kuwa tunabitaji kiongozi atakayetyfanya haya; hivyo, kila atakayejisikia kuomba uongozi atapaswa ajitafakari kwanza kama atayaweza na atuembie atayafanya vipi na kwa namna ipi. Kwa hiyo sisi wana mbeya tutakua tunajua tunachokitaka na kwa kumchagua mtu tunakua tumeingia naye mkataba na ole wake asitimize.
Kafi ka ndope...
Ukabila Ukanda Udini ndiyo silaha ya ccm kwa sasaHumphrey Polepole, huijui Mbeya, Na utapata shida sana wewe, CCM, Magurudumu ya gari lako Na Polisi.
Mbeya sio Dodoma.
Mbeya is a home of brave and determined people.
Ulitakiwa useme Mbeya mjini wengi ni wanyakyusa, wasafwa wako nje ya jiji, hapo umeandika kwa kinyakyusa.Mbeya mjini wengi ni wasafwa hasa pembezoni mwa jiji
Ukabila na udini ndo huwa silaha za CCM pale inaposhindwa kuwashawishi watu. Pole pole ni wa kupuuzwa tuSugu ni mnyakyusa kama Mwandosya ...hilo jina la Mbilinyi sio lake amejipachika tu
Hivi wakinga wanatoka mkoa gani?Sugu ni mnyakyusa kama Mwandosya ...hilo jina la Mbilinyi sio lake amejipachika tu
Mwandosya bado anawaza Urais na anajipendekeza kwa chadema ili wampe nafasi ya kugombea uraisi.View attachment 776562
Kati ya matamko yaliyonikera mimi binafsi, ni lile tamko la Ndg Polepole alipotoka ziarani huko Mbeya.
Vyombo vya habari vilimnukuu akisema viongozi ndani ya mkoa wa Mbeya wana ukabila.
Sijui nini kilimsukuma kusema hivyo maana tuliotoka mkoa huo tupo pamoja katika mambo mengi ya kijamii.
Hata mila na heshima za watu wa mkoa huu zinalingana.
Kitendo cha Prof Mark Mwandosya kumpongeza Mbunge wa Mbeya Mjini Ndg Mbilinyi , ni kitendo ambacho watu wenye mawazo kama ya Humphrey Polepole kitawakanusha na kuwatia soni.
Picha ya Nd Mbilinyi na Prof Mwandosya imeongea mengi.
Wanasaikolojia wameshaanza kuhisi kuwa tamkonlile la Polepole ni kutokana na kushindwa katika kile alichokiendea Mbeya.
Siku hizi viongozi mlio CCM mnatutia aibu.Mwandosya bado anawaza Urais na anajipendekeza kwa chadema ili wampe nafasi ya kugombea uraisi.